Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Msifananishe japan na ujingaJapan gdp ni $4.38trillion na ni ya3 dunian,..n.korea ni $16.4billion na ni ya 116 dunia,..we unaongea nin bwana...jifunze kujifunza
Msifananishe japan na ujingaJapan gdp ni $4.38trillion na ni ya3 dunian,..n.korea ni $16.4billion na ni ya 116 dunia,..we unaongea nin bwana...jifunze kujifunza
Mkuu zile ni risasi asikudanganye mtu na kuna room special ya wafanyakazi wanao zipanga katika mkanda maalum[emoji23] zile sio risasi ni Flares.
Mkuu kitu ambacho hukijuwi nikuwa china wanatengeneza viziwa vyao vingi sana pia wamarekani wanapotoka marekani kwenda china wanaenda kwenye nchi iliyo endelea mara 100 ya marekani sawa na wewe kutoka hapa tz kwenda dubai sijuwi kama utanielewa !!!!Kama China ana ubavu wa kumpiga mkwala us angeanzia kwenye vile visiwa vyenye mzozo us kapiga kambi hakina mtu kusogelea halafu China anatolewa kamasi kwa Taiwan tuu (Kama una just China Na Taiwan Kuna Nini umeelewa)
Yah.... Speed yake sio ya kitoto toto kitu kinatembea had 28,176km/h. Umbali toka US had Nkorea sio zaid ya 11,000km.Si chini ya 30 min. to Pyongyang Ikiwa launched from the west coast of US?
Atii?...nchi iliyoendelea mara100 ya marekan?...kwa mara ya kwnza naskia hili...daah tuache kudanganyana bas...hiv kuna kipya kwa marekan jameni,..labda mbuga za wanyama na twiga na sokwe watu..mambo ya kujenga visiwa marekan alifanya sjui 1800s hukoo,honolulu hawaii hukoo etc..Mkuu kitu ambacho hukijuwi nikuwa china wanatengeneza viziwa vyao vingi sana pia wamarekani wanapotoka marekani kwenda china wanaenda kwenye nchi iliyo endelea mara 100 ya marekani sawa na wewe kutoka hapa tz kwenda dubai sijuwi kama utanielewa !!!!
Mkuu zile ni risasi asikudanganye mtu na kuna room special ya wafanyakazi wanao zipanga katika mkanda maalum
Zikikosea zikaenda kwa mapank .'North korea' vita itaanzaNdege za kuangusha mabomu za Marekani zapaa Korea
![]()
Haki miliki ya pichaREUTERS
Ndege za kuangusha mabomu aina ya B-1B Lancer zikipaa juu ya Korea Kusini awali
Maafisa wa Korea Kusini wamesema ndege mbili za Marekani za kuangusha mabomu zimepaa juu ya anga la rasi ya Korea.
Ndege hizo za kivita zilipaa angani kama sehemu ya juhudi za kuzuia vitisho na uchokozi kutoka kwa Korea Kaskazini.
Ndege hizo aina ya B1-B zilishiriki operesheni ya pamoja na ndege za kivita za Korea Kusini.
Kupaa kwa ndege hizo kumetokea wakati ambapo Rais Trump ametoa taarifa za kukanganya kuhusu msimamo na sera ya Marekani dhidi ya Pyongyang.
Bw Trump aliambia Fox News kwamba msimamo wa Korea Kaskazini kuhusu mpango waker wa kufanyia majaribio makombora ya nyuklia ni wa kukera.
Alikuwa awali amesema kwamba yuko tayari kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un, iwapo kutakuwepo na mazingira mahsusi.
Hata hivyo, msemaji wa ikulu ya White House alisema baadaye kwamba mazingira kama hayo, yanayoweza kufanikisha mkutano wa Trump na Kim hayapo.
Korea Kaskazini imeongeza kasi katika majaribio yake ya makombora na silaha za nyuklia miaka ya karibuni licha ya marufuku ya Umoja wa Mataifa.
Naibu waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Han Song-ryol aliambia BBC awali kwamba Korea Kaskazini inaamini kwamba silaha zake za nyuklia zinaweza "kuilinda" dhidi ya tishio la shambulio la kijeshi kutoka kwa Marekani.
Korea Kaskazini inahofia kwamba Marekani na Korea Kusini wanaweza kutumia nguvu kumuondoa madarakani Kim Jong-un.
Jumatatu, Japan ilituma meli ya kubwa zaidi ya kivita baharini, hatua yake ya kwanza ya aina hiyo tangu kupitishwa kwa sheria mpya yenye utata iliyowezesha taifa hilo kuanza kupanua uwezo wa jeshi lake.
Meli hiyo kubwa ya kubeba helikopta ambayo imepewa jina Izumo ilitumwa kuifuata meli ya kubeba mizigo na vifaa vya kijeshi ya Marekani ambayo inapitia katika maeneo ya bahari ya Japan.
Meli hiyo ya Marekani inaelekea kufikisha mafuta kwa meli nyingine za taifa hilo zinalohudumu eneo hilo, ikiwemo meli yake kubwa ya kubeba ndege ya Carl Vinson na meli zinazoandamana na meli hiyo karibu na rasi ya Korea.
![]()
Haki miliki ya picha
Image captionIzumo ndiyo meli kubwa zaidi ya kivita ya Japan
Korea Kaskazini imetishia kuizamisha Carl Vinson pamoja na nyambizi ya Marekani, huku wasiwasi ukiendelea kuongezeka eneo hilo.
Aidha, taifa hilo lilifanya jaribio la kurusha kombora ambalo lilifeli Jumapili, licha ya kuonywa mara kadha na Marekani na nchi jingine dhidi ya kufanya majaribio ya makombora au majaribio ya silaha za nyuklia.
Kutumwa kwa Izumo kumejiri baada ya mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyofanywa na Japan na Marekani, pamoja na shughuli nyingine za majeshi ya majini.
Meli ya kutekeleza mashambulio baharini ya Ufaransa iliwasili kusini magharibi mwa Japan Jumamosi kwa mazoezi ambayo yatashirikisha majeshi ya majini ya Japan, Marekani na Uingereza.
![]()
Image captionUkubwa wa meli za kivita za mataifa yenye nguvu
Haki![]()
miliki ya pichaREUTERS
Image captionMeli kubwa ya kubeba ndege ya Marekani ya Carl Vinson ikiwa kusini mwa Japan Jumamosi
Chanzo: BBC Swahili
My take;
hakika huyu bwana mdogo hawezi kupona. pamoja na trump kumsifia kote kule. kwamba ni mwelevu.
watu wanasema ogopa sana ukiona adui anakusifia.
Mkuu jaribu kusoma tena uwezo wa hiyo ndege na kazi zake mana picha ilikudanganya but hapo mwisho umekubali kwa picha na ndege hiyo hiyo![]()
![]()
Hyo pcha ya kwanza na ya pili hzo ni FLARES, kaz yake ni kudanganya makombora baada ya kupiga ndege yanapiga hzo flares So ndege inakua Safe.
![]()
Kama hpo unaona F22 ikitoa hzo flares[emoji115]
![]()
![]()
Hii hpa ni Helicopter ikimwaga hzo flares
![]()
Hii hpa ni B52 ikitoa hzo flares
![]()
F16[emoji115]
![]()
![]()
Zile risasi sasa ndo hzo[emoji115]
Yah.... Speed yake sio ya kitoto toto kitu kinatembea had 28,176km/h. Umbali toka US had Nkorea sio zaid ya 11,000km.
Zikikosea zikaenda kwa mapank .'North korea' vita itaanza
Doh... Mkuu mbona hatuelewani!!!!Mkuu jaribu kusoma tena uwezo wa hiyo ndege na kazi zake mana picha ilikudanganya but hapo mwisho umekubali kwa picha na ndege hiyo hiyo
... miaka 27.wamewekewa vikwazo ila wanadunda.huyo ndio kidume sio kulialia tu.anaonyesha uhalisia wake kua marekani ata akimpiga ila ifahamike kua marekani ataki nchi iwe ina systems yake.marekani anata kudukua Habari zote azijue yeye
Sijakukatalia bali hiyo ni moja ya kazi za hiyo ndege but kazi kuu ni gun fight na hata ukiangalia toleo lake la mwanzo baada ya ile vita na Vietnam ndio wakaipajina na American a gun shipDoh... Mkuu mbona hatuelewani!!!!
Zile sio risasi ni Flares.[emoji115] sio risasi![]()
Embu ingia YouTube andika C-130 ANGEL WING FLARES, angalia vzuri labda utaelewa naona labda lugha zetu haziendani.
Me sijakataaa uwezo wa hyo ndege mbona, maana kaz ya ndege ni Close Air Support na Kufanya mashambuliz ya ardhini. Hata kwenye Vietnam war iliharibu malori zaidi ya 10,000.
Mkuu naomba usome tena nilichoandika hpobjuu half fananisha na ulichoandika sasa.Sijakukatalia bali hiyo ni moja ya kazi za hiyo ndege but kazi kuu ni gun fight na hata ukiangalia toleo lake la mwanzo baada ya ile vita na Vietnam ndio wakaipajina na American a gun ship
Sie wengine wasindikizaji. Bado tunahangaika na waliofoji umri.Shikamoo zao kwa kweli!
KabisaUSA anamkwara ya mbwa koko ambaye anaishia kubweka tu na kuparua ardhi makucha lakn hawezi kukusigerea kukung'ata..
Kama USA anahisi anauwezo wa kumpiga n.k na yeye akabaki salama basi hizo ndege azirushe kwenye anga ya north Korea au ajitoe ufaham arushe kombora moja tu . hapo ndio ntaamini kuwa kweli USA na trump ni mwanaume
Sie wengine wasindikizaji. Bado tunahangaika na waliofoji umri.
Mkuu ulishawahi kuishi kwenye hizi nchi au unaongea kwa kusikia !!!!Atii?...nchi iliyoendelea mara100 ya marekan?...kwa mara ya kwnza naskia hili...daah tuache kudanganyana bas...hiv kuna kipya kwa marekan jameni,..labda mbuga za wanyama na twiga na sokwe watu..mambo ya kujenga visiwa marekan alifanya sjui 1800s hukoo,honolulu hawaii hukoo etc..