Jamani niko posta hapa zinapita ndege za jeshi zina milio ya kutisha niambieni jamani kuna nini ili kama kimenuka niende zimbabwe mapema
Weweee... Ukisikia gurudumu la baskeli lapasuka mbioanatutishia. Ila akumbuke hatutishiki na siku tukiamua kuingia msituni hakuna wa kutuzuia.
Povu LA nini?Acheni ushamba na upumbavu Ndege za Kivita za Kijeshi hazijaanza kufanya mazoezi hayo leo kwani tokea enzi ya Hayati Baba wa Taifa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na sasa hivi Magufuli wamekuwa na utaratibu huo huo wa kuwa na mazoezi yao lakini pia kuzijaribu mara kwa mara Ndege Vita ambavyo inashauriwa kwakuwa muda mrefu zinakuwa zimekaa tu hazitumiki.
Tuache kuwa ' Wazushi ' na tujifunze kuwa na kiasi hasa kwa mambo ' Nyeti ' kama haya kuliko kuyatafutia ' Hoja ' za Kitoto humu ' Mitandaoni ' ambazo hazisaidii. Na kama haitoshi si lazima kila kitu cha ' Kijeshi ' basi Wewe ukijue au ' uwashwewashwe ' nacho. Kama kungekuwa na tatizo lolote basi Umma wa Watanzania ungeshataarifiwa mapema sana tu ila Tanzania ni shwari na hakuna mjinga au mpumbavu yoyote atakayeweza kupambana na Jeshi letu ' takatifu ' la Wanamume wa Shoka la JWTZ.
anatutishia. Ila akumbuke hatutishiki na siku tukiamua kuingia msituni hakuna wa kutuzuia.
Povu LA nini?
Kashfa za nini sasa? Povu mingi wakati mweupe hujui loloteUjinga na Upumbavu umezidi. Mnataka Ndege za Kijeshi zifanyie mazoezi yao Vyumbani mwenu mnapolala na Wake / Mahawara zenu? Miswahili bhana sijui ipoje!
Mm nipo kariakoooo, kilipita kitu mpka roho ikaweweseka, ndege hivyo, je kitu cha hydrogen cha buana mkubwa cmchezo
Kashfa za nini sasa? Povu mingi wakati mweupe hujui lolote
...kaone haka ka funzajike!anatutishia. Ila akumbuke hatutishiki na siku tukiamua kuingia msituni hakuna wa kutuzuia.
Ndo maana nimekwambia mweupe huna lolote hizi mambo tulishaachana nazo zamani sana maana ni utoto wa hali ya juu bali kwako wewe umri wako unaruhusu hakuna tusi jipya dunianiIla najua sana tu ' mnyero ' wako huo unaoongoza kwa Kuvunda na Kudoda hapo down town.
Acha plagiarism, akikuskia mwenye kauli hizo inakula kwako,Ujinga na Upumbavu umezidi. Mnataka Ndege za Kijeshi zifanyie mazoezi yao Vyumbani mwenu mnapolala na Wake / Mahawara zenu? Miswahili bhana sijui ipoje!
...kaone haka ka funzajike!
Hahahaha haya yametoka wap tena mbona maneno ya hasira namna hiyo. Pole nduguHamuwezi kumuelewa nyie kaskazini,wezi wakubwa na wabinafsi sana.uku kwetu tunajiandaa kuwatimua mrudi kwenu.maana uko kwenu hakuna mtu anaeweza kufanya biashara.wote mnaambiana husiende duka lile sio wa kwetu.
...weka tangazo lako vizuri,Si bora mimi funza jike,kuliko wewe James Delicious mpumuliwa kisogoni.Mwanaume mzima unagawa mtaro.