Xkalinga
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 475
- 317
Hivi vitu sijui majaribio ya ndege huwa yanakera sana hususani yanapofanyika ktk anga ambalo ni heavily populated...Risk yake ni kubwa maana madege ya kijeshi ndio yana rekodi mbaya za kuanguka kutokana na kukosa service, uchakavu na umri mkubwa...Kwa nini yasipite anga ya bahari au porini huko!!!Iko siku tutakuja kuongea lugha nyingine inayoambatana na majuto!!!