Ni kweli kabisa!Mmesahau alishawahi kuanzisha mazoezi ya maaskari kabla ya UKUTA? Motive ni ileile,
Hata hizi zinaweza kuangusha magorofa zikipigwa tu 180 degree angle.kama hawa wachina wetu (ndege za kichina) wanatutisha vipi wale kina F 22, F 3 , F 15 E strike eagle
wale wakipita nina uhakika kuna magorofa yatadondoka yenyewe


Nyerere dayJamani niko posta hapa zinapita ndege za jeshi zina milio ya kutisha niambieni jamani kuna nini ili kama kimenuka niende zimbabwe mapema
Nyuma ya kibodi rahisi kusema hvyo.Ila akumbuke hatutishiki na siku tukiamua kuingia msituni hakuna wa kutuzuia.
Kweli wewe wa kigoma umekaa kiziro ziro hata kuandika kwako inaonyesha we ni ziro yaani jamii ya ziro brainHamuwezi kumuelewa nyie kaskazini,wezi wakubwa na wabinafsi sana.uku kwetu tunajiandaa kuwatimua mrudi kwenu.maana uko kwenu hakuna mtu anaeweza kufanya biashara.wote mnaambiana husiende duka lile sio wa kwetu.