Ndege za Israel zaingia anga la Iran kwa kujirudia wakati wa mazoezi ya kijeshi!

Hizo sasa ndio globa-level projects. Kule vifurushi maalum kwa Ukraine; kule strategic support to the people of Taiwan, pale military drill in the Iranian airspace!

Bila kusahau Kiduku is being watched 24/7. Matishio ya Putin on the use of nuclear yanafuatiliwa cautiously; anasubiriwa afanye chochote afunzwe adabu! Kuna uzi humu Project ARTEMIS ya kurevisit the Moon on the making.

Tunaposema super power that's the exact meaning; no more no less.
Hapo kwenye nguvu za USA...🇺🇸🇺🇸🇺🇸..utapingwa vikali na wahafidhina wenye kuichukia USA.
lee van cliff wa kupuliza Bukyanagandi 1954 Morogoro kaskazini Mathanzua
Bwana Utam
Shalom Israel....🇮🇱🇮🇱🇮🇱
 
ukiwa wewe sio mkristo lazima utaichukia marekani tuu.nani aliyewaokoa waislamu kule Cosovo aliokuwa wanauwawa na Slobodan Milosevic kama sio mmarekani? nani aliye msweka ndani milosevic mpaka kufia lupango kama sio preasure ya mmarekani. hivi mmarekani awafanyie wema gani ili mmjue ni mleta amani ya kweli hapa duniani?kaangalie wsomalia, bosnia na Cosovo anavyo walea pale minia[polis lakini huachi kumlaumu mmarekani. grow up and wise up buddy!!!
Mpe mpe elimu huyo, hii dunia ingetawaliwa na muarabu ingekuwa ni balaa tupu
 
Mpe mpe elimu huyo, hii dunia ingetawaliwa na muarabu ingekuwa ni balaa tupu
naona vita ya kwanza na ya pili ya dunia imesababishwa na waarabu,naona maafa Iraq,yemen,syria,vietnam,libya yamesababishwa na waarabu.
 
ukiwa wewe sio mkristo lazima utaichukia marekani tuu.nani aliyewaokoa waislamu kule Cosovo aliokuwa wanauwawa na Slobodan Milosevic kama sio mmarekani? nani aliye msweka ndani milosevic mpaka kufia lupango kama sio preasure ya mmarekani. hivi mmarekani awafanyie wema gani ili mmjue ni mleta amani ya kweli hapa duniani?kaangalie wsomalia, bosnia na Cosovo anavyo walea pale minia[polis lakini huachi kumlaumu mmarekani. grow up and wise up buddy!!!
huwa anafanya kwa maslshi yake au kwa kuona kuna kitu hkna mashetani wakubwa waharibifu wa ulimwengu kama hao NYANGAU
 
Acha hizo propaganda ulizolishwa.Nani kakudanganya USA mleta amani?Nani kakudanganya waislam pekee ndio wanawachukia USA?Kuna Belarus,Russia,Venezuela,Cuba wote hao wanachukia USA mbaya mbovu ikiwemo VIetnam,China n.k je hao ni waislam?Libya,Iraq,Syria,vietnam,Yemen n.k nchi zote hizo zimeharibiwa na ufadhili vita wa USA unathubutuje kusema USA mleta amani duniani?
Huyu jamaa akili zake kabakiza za kuvukia barabara tu huyu shetani wa kutupwa muharibifu akawe mlets amani
 
usitudanganye ww syria iliitungua f35 ya israel mnayoisifia na f35 is not invisible acheni blee ble blee
Weka ushahidi hapa. Source ya hii habari. Vinginevyo ni hadithi ni za vijiwe vya kahawa vya huko Mwembe Yanga🤔
 
Iran wanatumia mfumo wa kulinda anga wa Urusi
usitudanganye bro IRAN ina mfumo wake wa khordak wa anga haitegemei ya Urusi ht ile drone ya USA walodai ni stealth drone ilidunguliwa na mfumo wa kombora wa khordak
 
usitudanganye bro IRAN ina mfumo wake wa khordak wa anga haitegemei ya Urusi ht ile drone ya USA walodai ni stealth drone ilidunguliwa na mfumo wa kombora wa khordak
Wakati unabishana na mchango wangu umeelewa main post imesema nini????
 
Back
Top Bottom