Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,556
- 12,676
- Thread starter
- #21
Lini syria kaangusha ndege ya Israeli labda iwe F-16,Lakini F-35 ni invisible kwenye radarHivi Iran km ameweza kutungua ndege ya USA yenye high technology ya stealth Kwa kombora moja tu hv ashindwe kuziona ndege za Israel ambazo Syria tu anaziona mpk wanakuwa wanashambulia Syria Kwa kukaa kwenye anga ya Lebanon