Mimi swali langu moja tu; hivi huyu aliye mchora huyu twiga ni nani jamani? Kama kabemendwa, mungu anamuona haya tu.
Mchoraji wa zile za zamani alikua anajua kuliko wa sasa.
Mchoraji sio fair, sema poa tu na sipandi
View attachment 406534
View attachment 406535
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama kweliHuyo Twiga kama anajisaidia vle
Hivi kweli huoni utofauti wa hao twigaPicha halisi ya fikra za vijana wetu wa sekondari na vyuo!
Sanaa tu, zote ni picha za twiga. Kama noti ya elfu kumi, kipindi fulani aliwekwa tembo mzima baadae kikawekwa kichwa cha tembo.Hivi kweli huoni utofauti wa hao twiga
Hivi kweli huoni utofauti wa hao twiga
Dah..How?....🙂🙂🙂😎Ni bora kufa mawazo yaendelee kuishi, kuliko kuishi na mawazo yaliokufa.
Twiga wa Boeing alikuwa poa sana alikaa vizuri,huyo wa Bomba mbili duuh kama ana amoeba kwenye miguuNikiangalia picha ya juu na ya chini, tumerudi nyuma hatua 1,000
Jamaa mmoja ameshauri wasakwe halafu tukawategeshe shingo zao pale kwenye mapanga shaa kisha iwashwe wakatwe shingo.kwewli asee hivi walio ua shirika wako wapi kama wapo hai tuwasake bhana
Hiyo ya juu imekonda kama nyoka aliyekosa chakula mwaka mzima halafu hiyo ya chini aliyotuachia Nyerere imevimba kama chatu aliyemeza ng'ombe mzimaMimi swali langu moja tu; hivi huyu aliye mchora huyu twiga ni nani jamani? Kama kabemendwa, mungu anamuona haya tu.
Mchoraji wa zile za zamani alikua anajua kuliko wa sasa.
Mchoraji sio fair, sema poa tu na sipandi
View attachment 406534
View attachment 406535
Yaani ni kama tumeenda kuanzia paleee 1961Nikiangalia picha ya juu na ya chini, tumerudi nyuma hatua 1,000
Labda ni mtoto wa yule alitetoroshwa na dege la kijeshi kule KIAHuyo Twiga ni wa mwendokasi[emoji23] [emoji23] [emoji23]