souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,103
Sasa aliyebemendwa ni twiga au mchoraji?Kama kabemendwa, mungu anamuona
Sasa aliyebemendwa ni twiga au mchoraji?Kama kabemendwa, mungu anamuona
Wewe utakufa, kipanga boi kitaendelea kupepeaKipanga boi, nasubir kife nikanunue kifeni chake niweke gheto
Kwa kifupi huyo twiga wa kwenye mapangaboi havutii mleta mada anazungumzia art worknina hakika darasani ulikuwa unapata sifuri kabisa na ata kukopi ubaoni ulikuwa unashindwa au wewe ni kipofu?
hivi kama una akili timamu na macho yenye afya kweli ulitegemea twiga kwenye hizo ndege mbili tofauti wafanane hata kwa kuangalia kwa macho tuu uoni utofauti mkubwa kwenye ukubwa wa mabawa ya hizo ndege mbili unazo linganisha?
Hivi wewe mnywa viroba unafikiri picha iliyochorwa kwenye TSH 200 ina ukubwa sawa na picha iliyochorwa kwenye TSH 1000.
Wewe kama si mlevi basi ni mwehu.
Nakuunga mkono kwa 100%Nikiangalia picha ya juu na ya chini, tumerudi nyuma hatua 1,000
Haaa haaaa, bora nimecheka kwa faida ya afya yanguKipanga boi, nasubir kife nikanunue kifeni chake niweke gheto
Ukute!Huyo Twiga kama anajisaidia vle
Nahisi gharama hazikujumlisha na mchoro/picha, baada ya kutaka tukapewa walichonachoMchoro umetokana na ndege yenyewe Ndege nzuri na twigs Mzuri ndege ya hovyo na mchoraji wa hovyo
Mimi swali langu moja tu; hivi huyu aliye mchora huyu twiga ni nani jamani? Kama kabemendwa, mungu anamuona haya tu.
Mchoraji wa zile za zamani alikua anajua kuliko wa sasa.
Mchoraji sio fair, sema poa tu na sipandi
View attachment 406534
View attachment 406535
Ukubwa wa mabawa sio tatizo hizo ni taaluma za watu tuulize sisi wachoraji unapoongea jambo uwe uwelewa na sio kutoa majibu mepesi kwenye swali gumunina hakika darasani ulikuwa unapata sifuri kabisa na ata kukopi ubaoni ulikuwa unashindwa au wewe ni kipofu?
hivi kama una akili timamu na macho yenye afya kweli ulitegemea twiga kwenye hizo ndege mbili tofauti wafanane hata kwa kuangalia kwa macho tuu uoni utofauti mkubwa kwenye ukubwa wa mabawa ya hizo ndege mbili unazo linganisha?
Hivi wewe mnywa viroba unafikiri picha iliyochorwa kwenye TSH 200 ina ukubwa sawa na picha iliyochorwa kwenye TSH 1000.
Wewe kama si mlevi basi ni mwehu.
Ndege hii ya mkulu ni kama pangaboi kwa size ila angalia inavyovutia hata twiga wake![]()
HATERS GONNA HATE
we jamaa una roho mbayaHuyo Twiga kama anajisaidia vle
mkuu ndege ya mkulu ni nini..Ndege hii ya mkulu ni kama pangaboi kwa size ila angalia inavyovutia hata twiga wake
Ningekufafanulia ila sina 7m ndugumkuu ndege ya mkulu ni nini..