Povu la nini m@m@nina hakika darasani ulikuwa unapata sifuri kabisa na ata kukopi ubaoni ulikuwa unashindwa au wewe ni kipofu?
hivi kama una akili timamu na macho yenye afya kweli ulitegemea twiga kwenye hizo ndege mbili tofauti wafanane hata kwa kuangalia kwa macho tuu uoni utofauti mkubwa kwenye ukubwa wa mabawa ya hizo ndege mbili unazo linganisha?
Hivi wewe mnywa viroba unafikiri picha iliyochorwa kwenye TSH 200 ina ukubwa sawa na picha iliyochorwa kwenye TSH 1000.
Wewe kama si mlevi basi ni mwehu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] LazmaHuyu jamaa anataka tu aseme kwamba....
Hiyo ni picha ya twiga shoga..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji unaisakama panga boi yetuTWIG KAMA KABEMENDWA....
OVA
helicopter!!!!Kupiga revasi zikiwa angani Mkuu? Hebu fafanua
Kwa mbaaali naona kama unataka kumwelewa mleta mada ila baadae network inakata[emoji2] [emoji2]nina hakika darasani ulikuwa unapata sifuri kabisa na ata kukopi ubaoni ulikuwa unashindwa au wewe ni kipofu?
hivi kama una akili timamu na macho yenye afya kweli ulitegemea twiga kwenye hizo ndege mbili tofauti wafanane hata kwa kuangalia kwa macho tuu uoni utofauti mkubwa kwenye ukubwa wa mabawa ya hizo ndege mbili unazo linganisha?
Hivi wewe mnywa viroba unafikiri picha iliyochorwa kwenye TSH 200 ina ukubwa sawa na picha iliyochorwa kwenye TSH 1000.
Wewe kama si mlevi basi ni mwehu.
huyo n fisi wa Mbugan tuuu [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hatuna twiga kilema ka hyo Duniani.Mimi swali langu moja tu; hivi huyu aliye mchora huyu twiga ni nani jamani? Kama kabemendwa, mungu anamuona haya tu.
Mchoraji wa zile za zamani alikua anajua kuliko wa sasa.
Mchoraji sio fair, sema poa tu na sipandi
View attachment 406534
View attachment 406535
Twiga tu ndo tatizo au kuna kingine
We unalo lako jambo sio bure
Maji [emoji15] [emoji15]ahahaaaa naomba tu maji ninywe
twiga amekeketwa huyoMaji [emoji15] [emoji15]
Sio saiz yako
may b [emoji485] [emoji485]
ok waiter Peleka kwa shem[emoji485] [emoji485] [emoji485]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbafu sanguMimi swali langu moja tu; hivi huyu aliye mchora huyu twiga ni nani jamani? Kama kabemendwa, mungu anamuona haya tu.
Mchoraji wa zile za zamani alikua anajua kuliko wa sasa.
Mchoraji sio fair, sema poa tu na sipandi
View attachment 406534
View attachment 406535
ila mkuu kumbuka siti zake ni two by two sio mbanano kama Airbus za kina emirates 3x3x3. yaan unakuwa confortable hadi raha.hahahaaaaaa!Kipanga boi, nasubir kife nikanunue kifeni chake niweke gheto
Ukitaka kuijua kama ni yetu angalia ina mapanga boi. Tumegundua consumption ya mafuta ni ndogo na ni nzuri kwa kubana matumizihii ni yetu mkuu.....?
![]()
Hiyo mtoto ya ndegeNikiangalia picha ya juu na ya chini, tumerudi nyuma hatua 1,000