Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Tatizo twiga kama kabong'oaHeeheehe sasa hivi mko kwenye mchora twiga?? Baada ya mapangaboi sasa issue ni picha ya twiga?? Awamu hii mtagusa kila kitu .. Hapa kazi tuu
Tatizo twiga kama kabong'oaHeeheehe sasa hivi mko kwenye mchora twiga?? Baada ya mapangaboi sasa issue ni picha ya twiga?? Awamu hii mtagusa kila kitu .. Hapa kazi tuu
Twiga mbong'oaji alilipiwa ngapi kuchorwa?Ndege hizi zilipaswa kulipiwa dola million 9 kwa kila ndege lakini serikali imelipa dola million 61 kwa kila ndege na kwa fedha taslim kwa amri ya raisi. by ZITTO KABWE.
Ubarikiwe.Hasa wananchi wasio na uelewa kama mimi kuleni tuu
mama mbona unatoka povu, ishu huwa ni scale tu haijalish ukubwa.nina hakika darasani ulikuwa unapata sifuri kabisa na ata kukopi ubaoni ulikuwa unashindwa au wewe ni kipofu?
hivi kama una akili timamu na macho yenye afya kweli ulitegemea twiga kwenye hizo ndege mbili tofauti wafanane hata kwa kuangalia kwa macho tuu uoni utofauti mkubwa kwenye ukubwa wa mabawa ya hizo ndege mbili unazo linganisha?
Hivi wewe mnywa viroba unafikiri picha iliyochorwa kwenye TSH 200 ina ukubwa sawa na picha iliyochorwa kwenye TSH 1000.
Wewe kama si mlevi basi ni mwehu.
Sawa mkuu 'tutaliuza' tununue madawati.Mpaka mliuze uilo takataka. Mmeacha kununua madawati mnalipia mapangashaa cash?
HUENDA NI KWELI!!sasa twiga huyu si walimpga pich yule aliepandaga ndege au mmemsahau? yule alikuaga mfupi kidogo ili aingie kwenye ile ndege
mama mbona unatoka povu, ishu huwa ni scale tu haijalish ukubwa.
Nikiangalia picha ya juu na ya chini, tumerudi nyuma hatua 1,000
acha uongo ni 20000Nikiangalia picha ya juu na ya chini, tumerudi nyuma hatua 1,000
atotoInasikitisha.
i michi yuuuAbee!
Mich you too, umepotea kweli.i michi yuuu
mi sipogo MMU ukinimiss njoo siasaniMich you too, umepotea kweli.
Akuuu!! Huko stress tu, nitakutana na matamko niharibu siku yangu.mi sipogo MMU ukinimiss njoo siasani