Ndege yetu mpya, nani aliyemchora yule twiga?

Ndege yetu mpya, nani aliyemchora yule twiga?

Huyo twiga wa juu labda mpga picha alikaa angle mbaya..
Kwi kwi kwi kwi
 
Nikiona hizi picha mbili hapo Juu yaani hasira na huzuni haziniishi........ sitaki kuamini tumetok kwenye kumiliki range hadi kuendesha guta.
 
Sijui waliwaza nn kumuweka huyo Twiga wa katuni inaboa sana logo mbovu kabisa kupata kutokea,yaani picha ya chini kwangu iko more classic kuliko huyo katuni...sio hii ya Ndege tu hata walivyobadili nembo ya TTCL ya sasa ukiiangalia unaweza ukadhani ni kampuni ya kutengeneza tambi kumbe ni shilika la mawasiliano la Tanzania... nashindwa kuelewa kama tumebonyeza button ya Forward au Reverse. ..
 
Kuna watu wana fitina ni hatari. Sio kwamba hiyo picha iko blurry
 
Twiga Kabemendwa

waiter zungusha tena[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Daah tuache masiara huyo twiga anatia hasira sanaa ,alieruhusu ndege yetu kuwekwa mchoro wa twiga huyo anatakiwa atafutwe popote alipo na atupwe lupango pumbafu zake
 
Daah tuache masiara huyo twiga anatia hasira sanaa ,alieruhusu ndege yetu kuwekwa mchoro wa twiga huyo anatakiwa atafutwe popote alipo na atupwe lupango pumbafu zake
Afungwe bila kuhurumiwa...madhara ya deals haya...wangetengeneza logo kama 3hivi then zipigiwe kura ...sasa kutuwekea nembo ya katuni mbaya namna hiyo sijui ndo nn yani! Inachefua haswa
 
Hata mm nashangaa sijui ss ndiyo tunajua kingreza et tunaandika Air Tanzania badala ya Tanzania Air, maana nimeona nchi nyingi zimeanza na jina la Nchi siyo Air.
 
Back
Top Bottom