CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,254
- 12,872
Picha!
mbona ajali za ndege zinakuwepo tangu hata al-shabab haijazaliwaItakua al shabbab wamepata fursa/ tusubir majibu yao
Unamwambia nani haya maneno?Ndege imepotea,hiyo picha yake itapatikana wapi?
Umeandika saa16:14,Elizabeth Dominic aliandika saa 13:19,akiMungu atawasaidia watapatikanaaaaa God is in cntrl
OLESAIDIMU umetaja nyakanazi wakati ndo napitamo muda huu aise mbona sioni la ajabu hapa bana itabidi KakaJambazi anipe ufafanuzi
Ndege ya Msumbiji yapotea angani ikiwa na watu 34, ilikuwa ikitoka Maputo kwenda Luanda, Angola. Hadi sasa haijajulikana imepatwa na balaa gani.chanzo mwananchi asubuhi hii
wewe kila siku unadai picha kwani maandishi huwezi kusoma?
Picha!
Nawaonea huruma kweli hao abiria na ndugu zao. Mungu ni mwema atawaponya:amen: