NDEGE YAPOTEA mazingira ya kutatanisha


jesse alibalio

jesse alibalio

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2011
Messages
270
Likes
2
Points
33
Age
49
jesse alibalio

jesse alibalio

JF-Expert Member
Joined May 13, 2011
270 2 33
Ndege imepotea,hiyo picha yake itapatikana wapi?
 
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
8,252
Likes
873
Points
280
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2007
8,252 873 280
RIP all passengers on Board!!
 
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
7,444
Likes
4,368
Points
280
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
7,444 4,368 280
Itapatikana hapohapo mazigira ya kutatanisha.
 
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Messages
15,213
Likes
2,352
Points
280
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2010
15,213 2,352 280
Nawaonea huruma kweli hao abiria na ndugu zao. Mungu ni mwema atawaponya:amen:
 
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,841
Likes
49
Points
145
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,841 49 145
Mungu awapumzishe kwa amani abiria wote!
 
S

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
4,192
Likes
107
Points
160
S

Swat

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
4,192 107 160
Mungu atawasaidia watapatikanaaaaa God is in cntrl
Umeandika saa16:14,Elizabeth Dominic aliandika saa 13:19,aki
quote taarifa ya BBC kwamba ndege imeonekana na abiria wote wamekufa.Tuwe tunaangalia kwanza comment za nyuma pia.
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,176
Likes
226
Points
160
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,176 226 160
OLESAIDIMU umetaja nyakanazi wakati ndo napitamo muda huu aise mbona sioni la ajabu hapa bana itabidi KakaJambazi anipe ufafanuzi
Hakuna cha ajabu kaka Mr Rocky huko mpaka wale jamaa waamue kufanya maajabu yao!!!!!
Nakuombea sana upite salama huko mkuu much as Kaka Jambazi yupo busy hapa basi huko shwariii!!!
 
Last edited by a moderator:
kibhopile

kibhopile

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Messages
1,412
Likes
281
Points
180
kibhopile

kibhopile

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2010
1,412 281 180
sasa rubani si angepaki pembeni afu aulize njia,
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,541
Likes
1,907
Points
280
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,541 1,907 280
Ndege ya Msumbiji yapotea angani ikiwa na watu 34, ilikuwa ikitoka Maputo kwenda Luanda, Angola. Hadi sasa haijajulikana imepatwa na balaa gani.chanzo mwananchi asubuhi hii
Hebu weka updates hapo juu kuwa watu wote wamekufa, maana watu bado wanawaombea wapone wakati wamepoteza maisha
 

Forum statistics

Threads 1,263,713
Members 486,018
Posts 30,161,077