NDEGE YAPOTEA mazingira ya kutatanisha

Nawaonea huruma kweli hao abiria na ndugu zao. Mungu ni mwema atawaponya:amen:
 
Mungu atawasaidia watapatikanaaaaa God is in cntrl
Umeandika saa16:14,Elizabeth Dominic aliandika saa 13:19,aki
quote taarifa ya BBC kwamba ndege imeonekana na abiria wote wamekufa.Tuwe tunaangalia kwanza comment za nyuma pia.
 
Ndege ya Msumbiji yapotea angani ikiwa na watu 34, ilikuwa ikitoka Maputo kwenda Luanda, Angola. Hadi sasa haijajulikana imepatwa na balaa gani.chanzo mwananchi asubuhi hii

Hebu weka updates hapo juu kuwa watu wote wamekufa, maana watu bado wanawaombea wapone wakati wamepoteza maisha
 
Back
Top Bottom