Ndege ya Urusi imepotea kwenye rada

Ndege ya Urusi imepotea kwenye rada

Kwa kufikili kwa upesi unaweza zania kwamba labda icho ni kisasi,lakini nnavyofikili mimi iyo ni ajali kama ajali nyingine na natoa pole kwa familia ya wanajeshi wa urusi na taifa zima la urusi,sasa kwa wale wanaofikili labda obama ameanza kulipa kisasi nadhani mmewai kufikili kwa haraka obama atoweza kulipa kisasi kinachofanana na walichokifanya urusi ata akilipa akitakua na athari kubwa kama waliyoipata wao ya kuchaguliwa raisi kama anavyodai obama,na ata kama kisasi chenyewe ni cha njia ya namna iyo ya kuuwa wanajeshi basi inadhihirisha wazi marekani wameshindwa katika vita ya tecnologia na iyo inadhihilisha kwamba russia anakuja kua na nguvu kubwa kwa sababu izi iwapo kama russia atabaini kwamba vifo vya wanajeshi ni mbinu ya kisasi cha marekani atokubali lazima atataka kufanya kubwa zaidi ya alilolifanya kwa kuchagua raisi wa marekani kama anavyodai obama,na mpaka sasa russia wana attension na kauli ya obama tutegemee kuona marekani akisalenda katika hii vita maana ni vita isiyokua wazi na inampa fursa kila upande kuonyesha ubabe wake kwa njia ya kuviziana sasa basi hapo tutegemee mpasuko mkubwa katika mataifa aya makubwa ulimwenguni na kama itatokea ivyo atakayekua ananufaika na iyo vita baridi ni russia kwa maana atakua ameshapewa nafasi ya kuonyesha ufanisi wake katika suala zima la tecnolojia basi lazima atazidi kupata washirika zaidi na iyo ndio inyomfanya marekani kua sauti maana karibu mataifa yenye nguvu yapo nyuma yake,nawasilisha kama nilivyotafakali ila sio lazima iwe kama nilivyoandika natanguliza samahani kwa yeyote atakayepata tabu katika huandishi wangu bado natumia jamii forum katika kujifunza kupitia nyinyi wadau
nadhani upo ndotoni wewe CIA ndo wazee wa fitina za A plus sasa kama unafikiri russia anaweza hii vita subiri uone kila siku ndgu yako anapoteza watu muhimu
 
Before any conclusive investigation anything ppl can say, but initial info is the plane crashed just after take off from a sea resort town of Sochi and it plunged into the sea. In aviation take offs and landings are the most critical parts of any flight and contributes most part of accidents, being human errors of technical malfunctions.

Well said, na ndege za TU-154 zilikuwa na safety record nzuri ingawa zilihundwa zamani sana.

Nilipo sikia Warusi zaidi ya sabini wamefariki kwa kunywa pombe haramu iliyokuwa unauzwa kwenye supermarket ndio nikashituka na kufikiri isije ikiwa marubani nao walinunua viroba vya a bootleged pombe iliyo changanywa na methanol wakajikuta wanakuwa vipofu ghafla wakati wamefikia phase ya kupaa!!! - Utani.

Ukweli ajali hiyo inasikitisha sana sana.
 
Nakubaliana na wewe.

Walidukua uchaguzi, na kule allepo wakajifanya eti wameshinda. Sasa wazee wa fitina za viwango "A" wameingia mzigoni
Hii vita nilijua tu mrusi anacheza ngoma asiyojua ni ya kabila gani.matokeo yake anacheza vizuri ila hafuati mdundo.

Sijui kama atatumbuiza muda mrefu.
 
Bado inabidi tusubiri habari za kiuchunguzi zaidi.
Maana japo wanasema wameanza kuona mabaki lkn Hali ya hewa ya eneo hilo haisupport ndege kuanguka na ndio maana safari za ndege nyingine hazijazuiwa.

Hii inakuja siku kadhaa baada ya allepo kuangukia mikononi mwa assad. Kama kutakuwa na hujuma basi lengo ni kurefusha vita vya Syria au kuwakatisha tamaa warusi ktk jitahida za Amani Syria.
Ngoja tusubiri maana siku hizi duniani mambo yako kiujanjaujanja sana. What you hear and see is not always the real truth.
 
Well said, na ndege za TU-154 zilikuwa na safety record nzuri ingawa zilihundwa zamani sana.

Nilipo sikia Warusi zaidi ya sabini wamefariki kwa kunywa pombe haramu iliyokuwa unauzwa kwenye supermarket ndio nikashituka na kufikiri isije ikiwa marubani nao walinunua viroba vya a bootleged pombe iliyo changanywa na methanol wakajikuta wanakuwa vipofu ghafla wakati wamefikia phase ya kupaa!!! - Utani.

Ukweli ajali hiyo inasikitisha sana sana.
Aisee naikubali US ila kwa hili kuua watu wasio na hatia inauma sana.
 
Yes! Trust me,
Kama mwezi wa december huu halia ya hewa ya urusi ni mbaya sana, fog, snow etc.
In other side hata ndege zao za aeroflot zinadondoka sana.

And dont overstimate.. Jeshi la urusi sio kama ulivyomezeshwa na wauza kahawa.
Hawa jamaa wanajiamini tu sana but in reality hakuna kitu.
Worse!
Nadhani unajilisha upepo ktk aya ya mwisho ya post yako..
 
Heshima yako MALCOM - Merry Xmas, kitu cha kwanza kumbuka kwamba ingawa ndege aina ya TU-154 zilihundwa miaka ya nyuma sana lakini kitendo cha kupotea kwenye rada bila ya marubani kutoa taarifa yoyote kwa waongoza ndege ina maana lilitegwa bomu kwenye cockpit au mmoja wa cabin crew alingia chumba cha marubani amevaa mkanda wa high explosive na kujilipua, kumbuka Urusi ina makabila ya watu mbali mbali wengine wenye akili fyatu ambao wanaweza kurubuniwa na majasusi wa magharibi kuweka bomu wakati wanasafisha ndege,kuweka vyakula
au wakati wana-refuel.

Hii inaonekana it was a well planned operation ya kuhangamiza cream ya wanajeshi muhimu waliokuwa wanakwenda Syria wengi wao wakiwa ni na pilots wa fighter jets, mafundi na ma-instructors, binafsi nafikiri hujuma kama hizi sina shaka Urusi ilijua zinaweza kutokea kutokana na sympathizers wa waasi wa Syria, NATO specifically America na Uingereza hao ndio wako obsessed na Urusi, mafanikio ya kijeshi ya Taifa hilo nchini Syria limeaabisha Mataifa hayo, juzi juzi niliwasikia Majenerali wa jeshi la Merikani wakilalamika kwamba silaha zilizo tumiwa na Warusi nchini Syria hazikuwa na ulazima wowote eti silaha hizo zilitumiwa na Warusi wakiwa na lengo la kuitisha Amerika na washirika wao - just imagine!!

Hata ndege ya Urusi iliyo lipuliwa kwenye anga la jangwa la Sanai wanasema wahusika walikuwa ni majasusi wa Uingereza ndio waliwapa bomu wafanya kazi wa kuhudumia ndege ikiwa aridhini wakaliweka chini ya kiti cha abiria, ndiyo maana vyombo vya habari vya MSM vilikuwa vya kwanza kutangaza ajali hiyo, walijuaje? Tutegemee hujuma kama hizo dhidi ya Taifa la Urusi zitaendelezwa tu - cha muhimu Warusi wawe makini sana na wafanyakazi kwenye viwanja vya ndege nchini mwao ambavyo ni critical kwa operations zao nchini Syria.

Binafsi siamini kama ndege hiyo was brought down by a MANPAD ambazo Obama alipania kuwapatia waasi kabla hajaondoka Ikulu. Mkuu that's my plausable explanation, I might be wrong.
Most probable.
 
Well said, na ndege za TU-154 zilikuwa na safety record nzuri ingawa zilihundwa zamani sana.

Nilipo sikia Warusi zaidi ya sabini wamefariki kwa kunywa pombe haramu iliyokuwa unauzwa kwenye supermarket ndio nikashituka na kufikiri isije ikiwa marubani nao walinunua viroba vya a bootleged pombe iliyo changanywa na methanol wakajikuta wanakuwa vipofu ghafla wakati wamefikia phase ya kupaa!!! - Utani.

Ukweli ajali hiyo inasikitisha sana sana.
Ndiyo. Kwa mimi naichukulia kama ajali nyingine, ingawa more than 50% ya ajali zote za ndege duniani zimegunduliwa kuwa ni makosa ya kibinaadamu Zaidi ya kiufundi. Na kwa mujibu wa habari za kuaminika, si mara ya kwanza kwa ndege hizo za kijeshi kufanya safari hizo za Syria kwa kuwa wana kituo chao cha kijeshi na mara zote huwa inasindikizwa na ndege mbili za kivita.
 
Back
Top Bottom