Ndege ya Urusi imepotea kwenye rada

Ndege ya Urusi imepotea kwenye rada

I reserve my comments...
Screenshot_2016-12-25-10-27-30-1.png
 
Mbona ndege ya jeshi la US ilipata ajali mwezi wa nane na siyo hilo tu na lingine pia lilipata dhoruba..haya masuala hutokea

Mkuu Py thon huwa naheshimu sana mawazo yako kwasababu mara zote huwa unajitahidi kutoa hoja bila Bias,
Japo huwa tunapigana vikumbo vya hapa na pale lakini nakupa heshima zangu zote.
You are a descent man and a dignified intellectual.
 
Kuna mtu alisema atachukua hatua za kulipiza, ngoja tuone mafahali hawa wawili wataishia wapi. Haingii akilini ndege ya nchi kama Urusi ipotee hivi hvi, hapo ipo vita ya mafahali wawili wanaonyeshana uchawi wao🙁🙁
Nakubaliana na wewe.

Walidukua uchaguzi, na kule allepo wakajifanya eti wameshinda. Sasa wazee wa fitina za viwango "A" wameingia mzigoni
 
Warusi ndege zao sio za kuaminika sana kama watu wanavyodhani.
Sishangai hata kidogo and im sure this might be a technical problem
Lakini ukisema huo ukweli ndani ya Russia utakuwa kisusio
 
Mashindano ya uwezo wa kunasa
Na hapo ni Changamoto kwa urusi na washirika wake huenda ikawa kama yaleeee
Hucking
 
Mkuu Py thon huwa naheshimu sana mawazo yako kwasababu mara zote huwa unajitahidi kutoa hoja bila Bias,
Japo huwa tunapigana vikumbo vya hapa na pale lakini nakupa heshima zangu zote.
You are a descent man and a dignified intellectual.
Pamoja kiongozi ,kupishana mawazo,hoja kupo .kikubwa tutangulize hoja mbele na siyo ushabiki au upenzi siku zote ushabiki hupelekea mtu kuwa bias ..Am grateful
 
Lakini Putin huwa mimi namuona kuwa sio mtu wa spot spot sasa inakuwaje ndege zake zisiwe na ubora?au mnatutania wakuu?syria uturuki na urusi wana ugomvi gani?
 
Back
Top Bottom