Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
Exactly mkuu, na nimeweka kwenye bandiko kuwa huwa wanazipa escort ya kijeshi kuivuka black sea. Walishawahi kutunguliwa na ndege aina hiyo hiyo humo humo black sea miaka ya nyuma wakidai ni wa Ukraine, kwa hilo wanajua.
Mkuu mwanzo nilikuwa na wasi wasi na watu walio husika ku-refuel ndege kwa mara ya mwisho, uwezi kujua waliweka nini au waliplant nini kwenye wing la ndege, wanaweza kuweka a magnetic mine.
Lakini walipo sema ndege ilipotea baada ya dakika ishirini kupita ina maana ilikuwa katikati ya bahari ambapo hakuna shuhuda aliyeona kilicho tokea, je, kuna watu walibeba MANPAD kwenye speedboats wakaitungua.wasi wasi kwamba wenda ikawa ilitunguliwa na MANPAD speedboats