Kama ilivyopotea mkuuMe too,
Lakini ndege kubwa vile inapoteaje aisee?
Wachawi wanalogana kwa kiwango cha juu na kwa siri sanaaKuna mtu alisema atachukua hatua za kulipiza, ngoja tuone mafahali hawa wawili wataishia wapi. Haingii akilini ndege ya nchi kama Urusi ipotee hivi hvi, hapo ipo vita ya mafahali wawili wanaonyeshana uchawi wao🙁🙁
Yes! Trust me,
Kama mwezi wa december huu halia ya hewa ya urusi ni mbaya sana, fog, snow etc.
In other side hata ndege zao za aeroflot zinadondoka sana.
And dont overstimate.. Jeshi la urusi sio kama ulivyomezeshwa na wauza kahawa.
Hawa jamaa wanajiamini tu sana but in reality hakuna kitu.
Worse!
Are you sure!!!!
Basi Muumba wa wazee na watoto waliolipuliwa ameamua kujibu mapigowalikua wanaenda kusherekea X-mass baada ya kuwalipua watoto na wazee waishio Damascus na Allepo.![]()
Hii inawezekana US yupo behind hii kitu maana toka Obama atoe ile kauli kwamba ataiadhibu Russia ni mwendo WA matukio tu kuanzia ile ya watu hamsini kufa kwa kunywa bia kudhan sabun, kifo cha baloz,hii ya ndege na bado mengine kibao.Nadhani imefanywa kuonekana kama ni technical problem lakini si kweli.
Hii ni ile indirect way ya kulipiza kisasi
ambayo Obama
mwenyewe aliisema,Putin Mwenyewe anajua hivyo.
Huyu anauza umasikini mteme tuWewe umetengeneza kiasi gani??
We acha kujitoa ufahamu hivi nani kati ya Urusi na Marekani anacheza rafu....In eithwr way iwe ni kweli au propaganda Urusii wanaweza cost dunia kwa vita nyingine... They play rough and they are full of conspiracy...
HahahahaHalf ukizingatia Yule mtu sio WA sportsport
Kwani ile ya Malasyia MH370 ilikuwa ndogo?Me too,
Lakini ndege kubwa vile inapoteaje aisee?
