Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Terrorism nayo inatia mashaka.Kama walikuwa na mafuta ya saa 7 watakuwa wametua uwanja gani kujaza mafuta!!???

Ninachoweza sema hapa ikiwa ni magaidi basi baada ya kuiteka ndege watakuwa wameiongoza vizuri na kwenda kutua wanakojua wao ambako hakuna uwanja wala njia yoyote ile ya escape, na hapo abiria wote kuzuiwa kufanya mawasiliano, kwa utafiti wote uliofanyika wangeona mabaki ya ndege baharini na kama ni porini basi pangekuwa na mkusanyiko wa tai wengi na ndege au wanyama. Kama imecrash basi anga lingekuwa na harufu ya moshi na madege yanayo patrol huko yangenasa vikemikali vya gesi kwenye hewa, lakini hamna kitu, kama ingekuwa chini na kuungua basi ardhi ingekuwa na harufu ya damu, sasa duuu hata bahari imekataa kutoa ushahidi kuwa ndege iko wapi? Haijapokea ndege toka angani! Hii issue sio ya kawaida lazima ugaidi umehusika vema hapa.
 
Ninachoweza sema hapa ikiwa ni magaidi basi baada ya kuiteka ndege watakuwa wameiongoza vizuri na kwenda kutua wanakojua wao ambako hakuna uwanja wala njia yoyote ile ya escape, na hapo abiria wote kuzuiwa kufanya mawasiliano, kwa utafiti wote uliofanyika wangeona mabaki ya ndege baharini na kama ni porini basi pangekuwa na mkusanyiko wa tai wengi na ndege au wanyama.

Mhhh wewe bana,theory zako zinafurahisha sana
 
Malaysia Airlines flight 'presumed crashed' http://m.aljazeera.com/story/2014380297203817

there is little hope of aircraft being found, our correspondent adds.

The aerial search was suspended overnight but resumed on Sunday morning.

Malaysia and Vietnam have both sent planes and naval vessels to look for the missing flight.

The US is sending the USS Pinckney, an Arleigh Burke-class guided-missile destroyer, which could be in the central search area within three hours.

US transport safety experts are also joining the investigation.

Territorial disputes over the South China Sea were set aside temporarily as China dispatched two maritime rescue ships and the Philippines deployed three air force planes and three navy patrol ships.

Singapore is also involved, while Vietnam sent aircraft and ships and asked fishermen in the area to report any suspected sign of the missing plane.

Texas firm Freescale Semiconductor says 20 of its Malaysian and Chinese employees were on the flight, according to a statement on its website.
 
Hawa wenye "false passport" watakua magaidi bila shaka, raia tu amezamiaje kwenye dege hili lenye ukaguzi wa uhakika?
 
Wanahisi hivyo kwa hao wizi wa passport huenda ni magaidi, japo hawadhibitishi kuwa ni magaidi.
Maana ndege haionekani popote pamoja na vifaa vyote hata mabaki kama imedondoka.

Walioibiwa passport mmoja ni kutoka Austria ambaye wakati majina yanatajwa ya waliokuwa kwenye hiyo ndege, yeye mwenyewe alikuwa nchini mwao. Yeye na nchi yake wakakanusha uwepo wake kwenye ndege.
Wa pili yeye ni Muitaly alikuwa zake kwenye vacation Thailand anakula raha, akashangaa anatajwa kuwa yuko kwenye ndege, akawapigia wazazi wake kuwa yuko salama salmini.

Hawa wote passport ziliibiwa, cha kujiuliza imekuaje wizi wote wa passport wako kwenye hiyo ndege iliyopotea?
Tusubiri tu miujiza ya Mungu.
 
On Sunday, the search efforts were increased, with 22 aircraft and 40 ships from various authorities now scouring the original search area and the area to the west that could have been reached if the plane did turn around. Terrorism is always considered a possibility, but the sudden disappearance of Flight MH370 has given extra emphasis to speculation a bomb might have been on board.

Source: http://m.aljazeera.com/story/20143944940600819
 
I think that the flight crashed due to a combination of technical failures and pilot error. According to experience in flights the pilots sometimes never sent a distress signal as they frantically tried to save the plane. So for this case it might be the pilots appeared unaware they were going to crash until the final seconds before hitting the water.

yaan hapa tunabak na tetesi tu,ila Mungu ni Mwenye miujiza sana,just imagine na teknolojia zote hizi,ndege leo inatafutwa kama mtu anatafuta sindano chumban
 
Hawa wenye "false passport" watakua magaidi bila shaka, raia tu amezamiaje kwenye dege hili lenye ukaguzi wa uhakika?

Sidhani kama ni magaidi. Passport zinaibiwa kila siku na watu wengi tu wanasafiri na passport za wizi na ndege zinafika salama.
 
Asilimia moja ndio naweza kutoa kuwa kuna uwezekano wa ndege kutekwa.99 nina uhakika ndege hiyo ilikwishaanguka toka jana.wazidi tu kutafuta ilipoangukia.kwa uzoefu wangu mdogo wa mambo ya utekaji siafikiani ndege kuwa imetwekwa.tuache kubashiri tusubili zoezi la utafutaji wa ndege hiyo likamalile
 
Updates:

Relatives of passengers on jet that vanished en route to Beijing will be flown to Malaysia - NBCNews http://www.nbcnews.com

2min
 
Last edited by a moderator:
yaan hapa tunabak na tetesi tu,ila Mungu ni Mwenye miujiza sana,just imagine na teknolojia zote hizi,ndege leo inatafutwa kama mtu anatafuta sindano chumban

Hii nayo inatia mashaka makubwa sana


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
yaan hapa tunabak na tetesi tu,ila Mungu ni Mwenye miujiza sana,just imagine na teknolojia zote hizi,ndege leo inatafutwa kama mtu anatafuta sindano chumban

Sasa hapo Mungu kafanya muujiza upi! Kaficha ndege au? Mambo mengine tusimsingizie Mungu
 
Asilimia moja ndio naweza kutoa kuwa kuna uwezekano wa ndege kutekwa.99 nina uhakika ndege hiyo ilikwishaanguka toka jana.wazidi tu kutafuta ilipoangukia.kwa uzoefu wangu mdogo wa mambo ya utekaji siafikiani ndege kuwa imetwekwa.tuache kubashiri tusubili zoezi la utafutaji wa ndege hiyo likamalile

probably ua ryt,ila tunarudpalepale,na maendeleo yote haya ya teknolojia ndege siku ya 2 inasakwa
 
Air france Rio Paris ilichukua siku 4 au 5 kuilocate,hata hii imeanguka tuombe Mungu tu wailocate eneo la ajari
 
Back
Top Bottom