Kuna vitu vingi vinaweza kumfanya asijue anacho fanya, labda njaa, tamaa au elimu dunia au elimu ya shule ya Usanii, maana nasikia ana Bachelor of Arts(Usani) ya UDSM au Mambo ya kiswahili (Inawezekana kalogwa sisi tuna mlaumu bure badala ya Kumsaidia kumbeleka Muhimbili ya mjini au ya Shamba).
Sasa inabidi tufanye research
Maana kusema kwamba tupo right on time and on track, na abiria hajapanda ndege wewe umeisha iondoa chini, sasa sijui wataidandia hiyo ndege (hao abiria)
Du Miwani haidondoki mwanangu, sijui ameifunga kwa kamba au Makamba kaishikilia kwa nyuma, maana nina uhakika Makamba hakosi kuwemo kwenye hiyo ndege japo hatumuoni.
Mheshimiwa wetu kamkasikia mwenye kijiji kama mafarisayo walivyomkasirikia yesu kwenye masinabogi,ama kweli ukweli unauma,Mh wetu 0 mwanakijiji 3,huree mwanakijiji.
Bora kuikimbia Nchi kama anavyo elezewa Mwanakijiji badala ya kubakia na kufanya mambo kama ya Lowasa ya kuiba mali zetu na kutumia mabavu kuenbdesha Nchi kwake madaraka ni bora kuliko maisha ya Mtanzania .
Najua ni weekend.. basi nimeonelea niwaoneshe picha niliyotumiwa toka kijijini, ati inadaiwa nyumba hii ni ya mwanakijiji mmoja maarufu pale kijijini na iko maeneo ya Upanga. Hivi ni nani amewahi kuiona au ndio fitina za watu?
Duh! Heshima mbele mkuu, nimeushitukia huo ungo wa TV huko nyuma ya nyumba, gademit hiyo ni nyumba ya our dear friend wa hii forum ndugu MANJI, mimi huwa naiona nje tu na kwa mbali, duh!
Kumbe ndio maana alikuwa anatusumbua kule bungeni na kesi uchwara?
Isiwe tu pesa iliyopatikana kwa rushwa- ktk nchi ambayo watu wana umaskini wa kutisha!
Hii ni dhambi!
Ila kama ni mali ya jasho la halali- poa sana- nami nampongeza!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.