Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Cha kusikitisha ni kwamba mara nyingi ukiwa na nyumba kama hiyo basi ujue pia utakuwa unaishi huko mara chache sana,,, maana aidha utakuwa busineman/woman ambaye utakuwa unasafiri sana,,,hivyo utakuwa hutulii home, so mara nyingi mahouseboy/girl ndio wanatesa kwenye nyumba kama hizi.
Kichuguu,
Hiyo nyumba hands down ni ya Manji pale Upanga, hebu iangalie tena mkuu!
Hold up!! Hii nyumba hiko Bongo ama ni nyumba ya mtanzania lakini hiko nje ya bongo(tanzania)?
Hivi hizi picha za nyumba za watu tukishaletewa hapa...whats next? Halafu zinatusaidia vipi?
Tatizo kubwa la maharamia wanaoiba import support na pesa za walalahoi bongo wanajenga nje ya Tanzania sasa hivi wamepata mahali kwa kuficha kule Uarabuni hebu angalia vijisafari vya huko vimekuwa mara ngapi kwa higher authorities.