ndege ya kisasa toka tanzania

ndege ya kisasa toka tanzania

Hicho ni kipaji kama unabisha jarib kutengeneza kama hiyo uone.
Wa 2 kama hawa ni wamuhim sana wanahitaji kuendelezwa kielimu na kuwezeshwa kwa mitaji pia hata zana mbali mbali.

Em fikiria m2 kama huyo akipelekwa kusoma chuo bora cha maswala ya kutengeneza ndege?

Serikali ya Tanzania inatakiwa ichukue jukumu la kuwawezesha watu kama hawa kwasababu miaka ijayo wanaweza kuja kulisaidia taifa katika kuondoa utegemezi wa kila ki2 kutoka mataifa yaliyoendelea. Hata mbuyu ulianza kama mchicha na polepole ndio mwendo.
 
doh, nimefungua kwa kasi sana hii thread kumbe ndio hilo boeing,
proudly tz product,
good.
 
Made in Tanzania.

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Back
Top Bottom