kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,033
- 2,124
Mkuu Mshara jr Africa giza kubwa sana kifikra. Nyuma mbele mbele nyuma. Mungu atupe uhai tu ila mengi yapo njiani.
Umenikosha hapo kwenye Nota Bene (NB)Huu upuuzi wa kushikwa masikio na watumishi makanisani nilishajikomboa. Huwezi ukaniweka msukule huku unakula jasho langu. Mie sadaka najipanga, nanunua unga, nguo, sukari n.k napeleka kwa wahitaji/masikini. Hapo roho yangu kwatuuuu....! Na mbinguni kama ipo utanikuta ni kiranja kabisaa!!
NB: Ukiona muumini anasapoti upuuzi kama huu wa Gwajima jua keshafanywa msukule unaotembea!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado tu kuambiwa nina wivu wa kike[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayakuhusu,
Toroka uje ya kizee chief..Dj Masai anapiga nyimbo hizo hizo..pili flowers hamna pale..maua..
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ningeamua kuwa mpigaji hapa ningetajirika lakini bahati mbaya sana sio zangu hizo! I was born to serve na najivunia hii karamasio muumini wake, sio mfuasi wake ulichokiandika kimeeleweka ...ila fanya yako mkuu nina imani kuna siku na wewe tutakuja kukuandika kwenye social network
[emoji75] [emoji15] [emoji35] halitaamka trust me! Tutaona leoAna ID yake maarufu humu ngoja akuamshie dude
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mwenyeji weweToroka uje ya kizee chief..Dj Masai anapiga nyimbo hizo hizo..pili flowers hamna pale..maua..
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo toroka uje ya tabata.Toroka uje ya kizee chief..Dj Masai anapiga nyimbo hizo hizo..pili flowers hamna pale..maua..
Sent using Jamii Forums mobile app
anzisha chuo cha mitishamba na uganga utapiga pesa sana mkuu moreover JF, fb, whatsApp, insta n.k utakuwa wewe tu 😀😀😀😀[emoji2] [emoji2] [emoji2] ningeamua kuwa mpigaji hapa ningetajirika lakini bahati mbaya sana sio zangu hizo! I was born to serve na najivunia hii karama
Sent using Jamii Forums mobile app
Angesema hiyo ndege kwa matumizi yake binafsi hii post isingekuwa na maana yoyote lakini naona wengi hawakunielewa kabisa wakaishia tu kupagawa na reply hizo..... MmhUmenena, hiyo ni anasa yake binafsi, na injili ni justification tu. Kwani angepanda ndege za public injili ingegoma kuenea?
Hapana JF pananitoshaanzisha chuo cha mitishamba na uganga utapiga pesa sana mkuu moreover JF, fb, whatsApp, insta n.k utakuwa wewe tu 😀😀😀😀
Huyu Trevor Noah anampaga bash Donald Trump.. Katika kipindi chake cha komedi.Hebu tumsome Trevor kwanza kisha tuendelee na mjadala View attachment 559724Bwana Yesu aliweza kuulisha umati wa watu elfu tano pekeyake.... Leo hii watu elfu tano ndio wanamlisha mtu mmoja.
Sina tatizo kabisa na taasisi za kidini ambazo zinewekeza kwenye huduma za kijamii kama elimu afya, lishe na vituo vya misaada mbalimbali bila kusahau yatima, walemavu wazee, wajane, watoto wa mitaani na vituo vya sober house nk... Hivi ni vituo na taasisi ambazo hata unapotoa sadaka zaka ama misaada yako una amani kuwa unaenda inaenda kuwasaidia wahitaji.
Tunapomtolea Mungu matoleo yetu kwa njia ya fedha na vitu mbalimbali, hivi haviendi mbinguni bali husaidia kufanya kazi ya Mungu kwa kuwasaidia wenye uhitaji kisha ndio uwape neno. Tunapowahubiria watu imani zetu ni lazima tuhakikishe wana mahitaji ya msingi kama afya lishe elimu nk na kama hawana tufanye mikakati thabiti ya kuwapatia..... Hapo wanaweza kutusikiliza na kutuelewa.
Nina tatizo moja kubwa kwa hawa Mitume manabii na wahubiri wenye vituo binafsi vya kidini., ambao kutwa kuchwa kazi yao ni moja tuu... Kuwakamua waumini na waamini wao pesa na vitu, wanakusanya mamilioni ya zaka na sadaka na kujinufaisha binafsi na familia zao n a marafiki zao.... Zaidi ya hapo hawahusiki wala kujali matatizo mengine yote ya waumini wao, zaidi ya kutakiwa kuchangia kila huduma inayotolewa kwenye kituo husika.
Hawa wahubiri binafsi duniani ni mojawapo ya kundi linaloongoza kwa ukwasi na utajiri duniani... Wanashindana kwa magari nyumba ndege meli na vitu mbalimbali vya thamani kubwa na gharama, huku waumini wao wakizidi kutaabika.
Kuna huyu ndugu yetu naye wiki hii katupia picha za jet lake la billion mbili na ushee eti ni kwa ajili ya kueneza injili duniani...... Mungu anamuona.
Hiyo ndege itatua viwanja vingapi Tanzania!? Gharama za kuihudumia je? Hivi angeteua mikoa walau mitano na kila mkoa akawekeza kiasi cha million mia 5 hivi kwenye huduma za kijamii kama elimu afya lishe vituo vya sober house na yatima si ingekuwa bora mara million kuliko ndege ambayo itafaidisha kikundi kidogo cha watu? Kwanza angesaidia pakubwa tatizo la ajira lakini pia waumini na wasio waumini nao wangefaidika na huduma husika naye angepata thawabu kwa Mungu.
Kutuambia ndege ya kifahari ya billion 2 ni kwa ajili ya kueneza injili ni kudanganyana kiwango cha lami
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unatangulia kucheck usalama[emoji23][emoji23][emoji23] duh nimejikuta nimecheka tu ulivyo mkatili umenitanguliza mbele.
Siyo hela nzuri za udalali/ushenga kipindi kile Bwana Yule anahamia chama kile?!?Inaelekea Gwajima alipiga hela nzuri sana kwenye bifu lake na Makonda na sasa matunda ya hilo bifu yanaonekana.
😀😀😀