NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 730
nimecheka sana ngoja nikatoe tintedUsimpangie mtu matumizi yake, mbona wewe una ndugu zako wana uwezo lakini hawakusaidii?
Sent using Jamii Forums mobile app
nimecheka sana ngoja nikatoe tintedUsimpangie mtu matumizi yake, mbona wewe una ndugu zako wana uwezo lakini hawakusaidii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio nabii wala mtumeUsimpangie mtu matumizi yake, mbona wewe una ndugu zako wana uwezo lakini hawakusaidii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ila huwa sitangaziKhaaaa unanipangia???we ukiwa unaruka Na ungo wako angani ukiwa uchi si unaamua tu kwenda sumbawanga..au kigoma!!kwani kuna mtu anakupangia???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipaumbele cha kwanza Kwa Mtumishi yeyote wa Mungu ni kuhubiri Injili,Hebu tumsome Trevor kwanza kisha tuendelee na mjadala View attachment 559724Bwana Yesu aliweza kuulisha umati wa watu elfu tano pekeyake.... Leo hii watu elfu tano ndio wanamlisha mtu mmoja
Sina tatizo kabisa na taasisi za kidini ambazo zinewekeza kwenye huduma za kijamii kama elimu afya, lishe na vituo vya misaada mbalimbali bila kusahau yatima, walemavu wazee, wajane, watoto wa mitaani na vituo vya sober house nk... Hivi ni vituo na taasisi ambazo hata unapotoa sadaka zaka ama misaada yako una amani kuwa unaenda inaenda kuwasaidia wahitaji
Tunapomtolea Mungu matoleo yetu kwa njia ya fedha na vitu mbalimbali, hivi haviendi mbinguni bali husaidia kufanya kazi ya Mungu kwa kuwasaidia wenye uhitaji kisha ndio uwape neno. Tunapowahubiria watu imani zetu ni lazima tuhakikishe wana mahitaji ya msingi kama afya lishe elimu nk na kama hawana tufanye mikakati thabiti ya kuwapatia..... Hapo wanaweza kutusikiliza na kutuelewa
Nina tatizo moja kubwa kwa hawa Mitume manabii na wahubiri wenye vituo binafsi vya kidini., ambao kutwa kuchwa kazi yao ni moja tuu... Kuwakamua waumini na waamini wao pesa na vitu, wanakusanya mamilioni ya zaka na sadaka na kujinufaisha binafsi na familia zao n a marafiki zao.... Zaidi ya hapo hawahusiki wala kujali matatizo mengine yote ya waumini wao, zaidi ya kutakiwa kuchangia kila huduma inayotolewa kwenye kituo husika
Hawa wahubiri binafsi duniani ni mojawapo ya kundi linaloongoza kwa ukwasi na utajiri duniani... Wanashindana kwa magari nyumba ndege meli na vitu mbalimbali vya thamani kubwa na gharama, huku waumini wao wakizidi kutaabika
Kuna huyu ndugu yetu naye wiki hii katupia picha za jet lake la billion mbili na ushee eti ni kwa ajili ya kueneza injili duniani...... Mungu anamuona
Hiyo ndege itatua viwanja vingapi Tanzania!? Gharama za kuihudumia je? Hivi angeteua mikoa walau mitano na kila mkoa akawekeza kiasi cha million mia 5 hivi kwenye huduma za kijamii kama elimu afya lishe vituo vya sober house na yatima si ingekuwa bora mara million kuliko ndege ambayo itafaidisha kikundi kidogo cha watu? Kwanza angesaidia pakubwa tatizo la ajira lakini pia waumini na wasio waumini nao wangefaidika na huduma husika naye angepata thawabu kwa Mungu
Kutuambia ndege ya kifahari ya billion 2 ni kwa ajili ya kueneza injili ni kudanganyana kiwango cha lami
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kawapofusha wengi kweli nawaona hata hapa wanavyolipukaMshana huo ndo ukweli japo mchungu kumeza kwa hawa wenzetu wanaojiita waponyaji.
Inasikitisha Sana mtu anaanza kuhubiri akiwa anauchumi wa kawaida tu then muda si mrefu anakua bilionea, waumini wake wakiwa hoi kiuchumi.
Nakubaliana na Trevor 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimpangie mtu matumizi yake, mbona wewe una ndugu zako wana uwezo lakini hawakusaidii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Achen wivu na fikra mgando kama mnafkr ni simple simple nunueni zenu wabongo bhana inawakera sana hiyo ndege eti polen
Sent using Jamii Forums mobile app
No please, kila mmoja ana preferences/priorities zake
Asanteni kwa michango yenye chagizo na kushiriki mjadala huu... Ni wazi hatuwezi kukubaliana kwenye kila jamboYaani mawazo ya kifukara hayaishi tu,sasa kama waumini ndio wanatoa sadaka utasema ni maskini ivi mnataka awe anagawa hela ndio mlizike sio,never on earth
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu usitoe tinted mkuu wako wa mkoa kashatengua kauli ya polisi[emoji23] [emoji23] [emoji23]nimecheka sana ngoja nikatoe tinted
Hiyo ndio bei aliyosema mhusika, sijajua bei yake halisi ni kiasi gani.... Kuhusu huduma za kijamii naomba niwatetee wakatoliki wako vizuri kwenye hii sekta na wametenda mengi mazuri na ya kupigiwa mfano, leo hii serikali nyingi viongozi wake walipata elimu ya msaada toka katoliki na organs zakeKwanza mkuu hilo jet siyo la bilion mbili, hilo jet litakuwa zaidi ya bilion ishirini.
Halafu usilalamike sana mkuu ukifuatilia utakuja gundua kuwa madhehebu mengi ni wizi mtupu.
Hivi unajua kuwa Vatican ndiyo institution inayoongoza kwa ukwasi duniani?
Je kwanini iwe na ukwasi kiasi hicho wakati masikini na wenye uhitaji hawajaisha duniani.
Kwanini isitumie huo ukwasi kusaidia masikini na watu wenye majanga.
Angalia shule za kanisa zilivyo na karo ghali, je hiyo karo kweli ina reflect kuwa wamelenga kusaidia maskini?
Angalia hospital zao zilivyo za gharama.
Kote huko wanakusanya mpunga wanazidi kujitajirisha.
Madhehebu ni ukoloni mimi naona mfano Vatican ni Roman empire colonizing people in another way maana kila mwaka kila sehemu kuna pesa inapelekwa vatican kama sadaka sawa tax tu.
So wacha ngwajima na wengine nao wafaidi tu siyo weupe na waarabu tu ndiyo wakianzisha kitu waonekane wakweli.
Ngwajima vuta mpunga babaaa
Inamaana yesu alikuwa akifanyiwa full body massage na wanawake tena na mafuta ya gharama ...Mfuasi mmoja wa Yesu aliona mwanamke anampaka Yesu Mafuta ya thamani na akasema bora yangeuzwa wakasaidiwa maskini, lakini Yesu akamjibu "mm hamtakuwa nami siku zote lakini maskini mtakuwa nawo siku zote" kwa tafsri nyingine maskini hawataisha kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app