Ndege ya bilioni mbili na uongo wa kueneza injili

Ndege ya bilioni mbili na uongo wa kueneza injili

Hebu tumsome Trevor kwanza kisha tuendelee na mjadala View attachment 559724Bwana Yesu aliweza kuulisha umati wa watu elfu tano pekeyake.... Leo hii watu elfu tano ndio wanamlisha mtu mmoja
Sina tatizo kabisa na taasisi za kidini ambazo zinewekeza kwenye huduma za kijamii kama elimu afya, lishe na vituo vya misaada mbalimbali bila kusahau yatima, walemavu wazee, wajane, watoto wa mitaani na vituo vya sober house nk... Hivi ni vituo na taasisi ambazo hata unapotoa sadaka zaka ama misaada yako una amani kuwa unaenda inaenda kuwasaidia wahitaji
Tunapomtolea Mungu matoleo yetu kwa njia ya fedha na vitu mbalimbali, hivi haviendi mbinguni bali husaidia kufanya kazi ya Mungu kwa kuwasaidia wenye uhitaji kisha ndio uwape neno. Tunapowahubiria watu imani zetu ni lazima tuhakikishe wana mahitaji ya msingi kama afya lishe elimu nk na kama hawana tufanye mikakati thabiti ya kuwapatia..... Hapo wanaweza kutusikiliza na kutuelewa
Nina tatizo moja kubwa kwa hawa Mitume manabii na wahubiri wenye vituo binafsi vya kidini., ambao kutwa kuchwa kazi yao ni moja tuu... Kuwakamua waumini na waamini wao pesa na vitu, wanakusanya mamilioni ya zaka na sadaka na kujinufaisha binafsi na familia zao n a marafiki zao.... Zaidi ya hapo hawahusiki wala kujali matatizo mengine yote ya waumini wao, zaidi ya kutakiwa kuchangia kila huduma inayotolewa kwenye kituo husika
Hawa wahubiri binafsi duniani ni mojawapo ya kundi linaloongoza kwa ukwasi na utajiri duniani... Wanashindana kwa magari nyumba ndege meli na vitu mbalimbali vya thamani kubwa na gharama, huku waumini wao wakizidi kutaabika
Kuna huyu ndugu yetu naye wiki hii katupia picha za jet lake la billion mbili na ushee eti ni kwa ajili ya kueneza injili duniani...... Mungu anamuona
Hiyo ndege itatua viwanja vingapi Tanzania!? Gharama za kuihudumia je? Hivi angeteua mikoa walau mitano na kila mkoa akawekeza kiasi cha million mia 5 hivi kwenye huduma za kijamii kama elimu afya lishe vituo vya sober house na yatima si ingekuwa bora mara million kuliko ndege ambayo itafaidisha kikundi kidogo cha watu? Kwanza angesaidia pakubwa tatizo la ajira lakini pia waumini na wasio waumini nao wangefaidika na huduma husika naye angepata thawabu kwa Mungu
Kutuambia ndege ya kifahari ya billion 2 ni kwa ajili ya kueneza injili ni kudanganyana kiwango cha lami

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili bango lina chembe chembe za wivu, mwacheni ajitanue na dege lake bana, kwani wewe umeliwa hapo? waacheni wanaoliwa waliwe si wamependa wenyewe! mbona watanzania kibao wameendelea kuipenda CCM na yote yaliyofanyika nchini? kwa sababu wamependa wenyewe! hata hao waumini wamempenda wenyewe hivyo wanaona bora wasile vizuri na waishi kwenye mabanda na kupuyanga kwa mguu hela zao zote wampe mchungaji. Waache wakamuliwe hadi watakapostuka na kuliwa wake zao ndo wataona kuwa wamepotea, hawa wanapenda kupigwa sound kwa maneno ya uzima.
 
Hiyo ndio bei aliyosema mhusika, sijajua bei yake halisi ni kiasi gani.... Kuhusu huduma za kijamii naomba niwatetee wakatoliki wako vizuri kwenye hii sekta na wametenda mengi mazuri na ya kupigiwa mfano, leo hii serikali nyingi viongozi wake walipata elimu ya msaada toka katoliki na organs zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakatoliki walanguzi sana. Nenda kwenye shule zao uone jinsi ada ilivyo kubwa. Watoto wa masikini hawana ubavu wa kusoma huko
 
Ila leo umeniangusha mkuu, huu uzi dhaifu sana, kama vipi acha gwajima atupooze maana zile za mkulu kaleta kilazima halafu mbovu na bado anatuchangisha akalete zingine sijui hata za nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu upuuzi wa kushikwa masikio na watumishi makanisani nilishajikomboa. Huwezi ukaniweka msukule huku unakula jasho langu. Mie sadaka najipanga, nanunua unga, nguo, sukari n.k napeleka kwa wahitaji/masikini. Hapo roho yangu kwatuuuu....! Na mbinguni kama ipo utanikuta ni kiranja kabisaa!!

NB: Ukiona muumini anasapoti upuuzi kama huu wa Gwajima jua keshafanywa msukule unaotembea!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mashabiki maandazi hawatakuelewa hapa. Siku hizi kila kona pamejaa makajanja
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] GT Numbisa[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Kipaumbele cha kwanza Kwa Mtumishi yeyote wa Mungu ni kuhubiri Injili,
Mkuu unaeza kulisha watu 5000 na zaidi au kuhudumia jamii lkn wasipowahudumia kwa kuhubiri Injili kazi yake ni bure,
Lakini cha pili ni katika biblia hiyo hiyo Nabii Samwel alitaka apewe yeye kwanza chakula kutoka kwa mjane ambaye alibakiza hicho tu wakati wa baa la njaa. Kwahiyo usiiangalie Biblia juu juu ukamtuhum mtu, kubali kwanza kujifunza alafu sikiliza mafundisho then lete maoni tofaut na hapo huwez kumwelea kwasababu ushakuwa nagative from the beginning

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tumsome Trevor kwanza kisha tuendelee na mjadala View attachment 559724Bwana Yesu aliweza kuulisha umati wa watu elfu tano pekeyake.... Leo hii watu elfu tano ndio wanamlisha mtu mmoja.

Sina tatizo kabisa na taasisi za kidini ambazo zinewekeza kwenye huduma za kijamii kama elimu afya, lishe na vituo vya misaada mbalimbali bila kusahau yatima, walemavu wazee, wajane, watoto wa mitaani na vituo vya sober house nk... Hivi ni vituo na taasisi ambazo hata unapotoa sadaka zaka ama misaada yako una amani kuwa unaenda inaenda kuwasaidia wahitaji.

Tunapomtolea Mungu matoleo yetu kwa njia ya fedha na vitu mbalimbali, hivi haviendi mbinguni bali husaidia kufanya kazi ya Mungu kwa kuwasaidia wenye uhitaji kisha ndio uwape neno. Tunapowahubiria watu imani zetu ni lazima tuhakikishe wana mahitaji ya msingi kama afya lishe elimu nk na kama hawana tufanye mikakati thabiti ya kuwapatia..... Hapo wanaweza kutusikiliza na kutuelewa.

Nina tatizo moja kubwa kwa hawa Mitume manabii na wahubiri wenye vituo binafsi vya kidini., ambao kutwa kuchwa kazi yao ni moja tuu... Kuwakamua waumini na waamini wao pesa na vitu, wanakusanya mamilioni ya zaka na sadaka na kujinufaisha binafsi na familia zao n a marafiki zao.... Zaidi ya hapo hawahusiki wala kujali matatizo mengine yote ya waumini wao, zaidi ya kutakiwa kuchangia kila huduma inayotolewa kwenye kituo husika.

Hawa wahubiri binafsi duniani ni mojawapo ya kundi linaloongoza kwa ukwasi na utajiri duniani... Wanashindana kwa magari nyumba ndege meli na vitu mbalimbali vya thamani kubwa na gharama, huku waumini wao wakizidi kutaabika.

Kuna huyu ndugu yetu naye wiki hii katupia picha za jet lake la billion mbili na ushee eti ni kwa ajili ya kueneza injili duniani...... Mungu anamuona.

Hiyo ndege itatua viwanja vingapi Tanzania!? Gharama za kuihudumia je? Hivi angeteua mikoa walau mitano na kila mkoa akawekeza kiasi cha million mia 5 hivi kwenye huduma za kijamii kama elimu afya lishe vituo vya sober house na yatima si ingekuwa bora mara million kuliko ndege ambayo itafaidisha kikundi kidogo cha watu? Kwanza angesaidia pakubwa tatizo la ajira lakini pia waumini na wasio waumini nao wangefaidika na huduma husika naye angepata thawabu kwa Mungu.

Kutuambia ndege ya kifahari ya billion 2 ni kwa ajili ya kueneza injili ni kudanganyana kiwango cha lami
Imeandikwa watakula na kunywa vya kwao....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndio bei aliyosema mhusika, sijajua bei yake halisi ni kiasi gani.... Kuhusu huduma za kijamii naomba niwatetee wakatoliki wako vizuri kwenye hii sekta na wametenda mengi mazuri na ya kupigiwa mfano, leo hii serikali nyingi viongozi wake walipata elimu ya msaada toka katoliki na organs zake

Sent using Jamii Forums mobile app
May be inaweza kuwa hiyo bei lakini uwa nachek chek sana bei za private jet hasa zenye kutumia yani ndege zenye jet engines uwa bei yake imesimama sana.
Yah but wanasaidia 1/100,000 waliowakamua sadaka.
Hizo social services kama hospital bado wanavuta ruzuku nzuri serikalini so siyo msaada as such.
Haya madhehebu bwana yote yananyonya watu viongozi wanaishi maisha mazuri kweli yani mimi uwa nikitazama vatican uwa sioni uwepo wa Mungu ila nakuwa scared na mapambo na michoro na masanamu na maurembo ya gharama pamoja na mavazi ya gharama ninayoyaona.
Watu hawaishi wanacho kihubiri uzuri biblia inaweza justify kila kitu ili mradi ujue jinsi kutwist maandiko in the way you like na watu watakuamini
 
Hebu tumsome Trevor kwanza kisha tuendelee na mjadala View attachment 559724Bwana Yesu aliweza kuulisha umati wa watu elfu tano pekeyake.... Leo hii watu elfu tano ndio wanamlisha mtu mmoja.

Sina tatizo kabisa na taasisi za kidini ambazo zinewekeza kwenye huduma za kijamii kama elimu afya, lishe na vituo vya misaada mbalimbali bila kusahau yatima, walemavu wazee, wajane, watoto wa mitaani na vituo vya sober house nk... Hivi ni vituo na taasisi ambazo hata unapotoa sadaka zaka ama misaada yako una amani kuwa unaenda inaenda kuwasaidia wahitaji.

Tunapomtolea Mungu matoleo yetu kwa njia ya fedha na vitu mbalimbali, hivi haviendi mbinguni bali husaidia kufanya kazi ya Mungu kwa kuwasaidia wenye uhitaji kisha ndio uwape neno. Tunapowahubiria watu imani zetu ni lazima tuhakikishe wana mahitaji ya msingi kama afya lishe elimu nk na kama hawana tufanye mikakati thabiti ya kuwapatia..... Hapo wanaweza kutusikiliza na kutuelewa.

Nina tatizo moja kubwa kwa hawa Mitume manabii na wahubiri wenye vituo binafsi vya kidini., ambao kutwa kuchwa kazi yao ni moja tuu... Kuwakamua waumini na waamini wao pesa na vitu, wanakusanya mamilioni ya zaka na sadaka na kujinufaisha binafsi na familia zao n a marafiki zao.... Zaidi ya hapo hawahusiki wala kujali matatizo mengine yote ya waumini wao, zaidi ya kutakiwa kuchangia kila huduma inayotolewa kwenye kituo husika.

Hawa wahubiri binafsi duniani ni mojawapo ya kundi linaloongoza kwa ukwasi na utajiri duniani... Wanashindana kwa magari nyumba ndege meli na vitu mbalimbali vya thamani kubwa na gharama, huku waumini wao wakizidi kutaabika.

Kuna huyu ndugu yetu naye wiki hii katupia picha za jet lake la billion mbili na ushee eti ni kwa ajili ya kueneza injili duniani...... Mungu anamuona.

Hiyo ndege itatua viwanja vingapi Tanzania!? Gharama za kuihudumia je? Hivi angeteua mikoa walau mitano na kila mkoa akawekeza kiasi cha million mia 5 hivi kwenye huduma za kijamii kama elimu afya lishe vituo vya sober house na yatima si ingekuwa bora mara million kuliko ndege ambayo itafaidisha kikundi kidogo cha watu? Kwanza angesaidia pakubwa tatizo la ajira lakini pia waumini na wasio waumini nao wangefaidika na huduma husika naye angepata thawabu kwa Mungu.

Kutuambia ndege ya kifahari ya billion 2 ni kwa ajili ya kueneza injili ni kudanganyana kiwango cha lami
Hayakuhusu,
 
Hili bango lina chembe chembe za wivu, mwacheni ajitanue na dege lake bana, kwani wewe umeliwa hapo? waacheni wanaoliwa waliwe si wamependa wenyewe! mbona watanzania kibao wameendelea kuipenda CCM na yote yaliyofanyika nchini? kwa sababu wamependa wenyewe! hata hao waumini wamempenda wenyewe hivyo wanaona bora wasile vizuri na waishi kwenye mabanda na kupuyanga kwa mguu hela zao zote wampe mchungaji. Waache wakamuliwe hadi watakapostuka na kuliwa wake zao ndo wataona kuwa wamepotea, hawa wanapenda kupigwa sound kwa maneno ya uzima.
Loh nimepanua maarifa hapa! Bango lenye chembechembe za wivu! Usijekuwa umetumia kipimo kilekile cha kupimwa viashiria vya uchochezi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Burudani ni pale ndege itakapoletwa na waumini wake watashangilia na kupaza sauti uku wakimshukuru Mungu.
Kama pepo inapatikana kwa kuwafata watumishi mfano wa Gwajima,Mzee wa Upako basi mimi nimejiandaa kwenda motoni na siku ya hukumu sitosumbua nikiona watu wa Gwajima wako peponi mimi nanyoosha mwenyewe motoni.
Namie nitakuwa nyuma yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom