BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,667
- 1,051
JK alinunua mbili. Zote ni Q300. Nyingine ilianguka kigoma airport , aifai tena.Hii si mpya? Imekuaje tena?
JK alinunua mbili. Zote ni Q300. Nyingine ilianguka kigoma airport , aifai tena.Hii si mpya? Imekuaje tena?
ndege ipi unaongelea.. toyota mesidisbenzi.... nisan.. au kile kibajaj... boxer... au bodaboda katapila auTaarifa rasmi iliyotolewa leo Mei 17, 2021 na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza kuwa Ndege 1 ya Shrika la Ndege Tanzania (ATCL) imepelekwa nchini Malta kwa ajili ya kufanyiwa matengenezo
Taarifa zaidi kutolewa
MCL
Acha kukariri..Kuchora Twiga ndio kupiga rangi! Nitajie aircraft painting company moja Tz.Mbona enzi za Mwendazake ndege tulikua tukizipi ga rangi wenyewe, leo hii matengenezo tu zinapelekwa Malta kwenye kainchi kadogo hata wakazi wake hawafiki million moja!
Ndege hii ilikuwa mbovu kwa miaka minne, Leo ina ruka kwenda Malta, tuna jiuliza kweli hii ndege mbuvu? Imewezaje kwenda kwenye matibabu, au waliiweka kwenye meli sijui vivuko wakaisafirisha kwa njia ya maji?Na nyie watu hadi mnaboa kwani lini hii nchi upigaji ulikwisha, akiwepo mwenda zake tu licha ya kujisifu walikuwa wanapiga tu!!mfano huko ATCL, walipiga bilioni mbili za matengenezo ya ndege, wakati ndege ilishakufa toka 2015!!kulingana na ripoti ya CAG!!kwani gari linapolekwa service huwa linaenda vipi?!!kuhusu kisiwa cha malta kuwa ni kudogo haina mashiko, kwani hayo makampuni yanayotengeneza hizo ndege, yanaamua wapi waweke kituo chao cha kufanyia service.
Mkuu mambo yalikua mengi usikurupuke! enzi za MWENADAZAKE tuliambiwa tuliokoa mamilioni ya fedha ambae tulikua tukiyalipa makampuni ya kigeni kutupigia rangi ndege zetu, sasa tunapiga rangi sisi wenyewe na tuna karakana ya kutengenezea NDEGE na mafundi wanajeshi wakutengeneza NDEGE tunao.Acha kukariri..Kuchora Twiga ndio kupiga rangi! Nitajie aircraft painting company moja Tz.
Mkuu mambo yalikua mengi usikurupuke! enzi za MWENADAZAKE tuliambiwa tuliokoa mamilioni ya fedha ambae tulikua tukiyalipa makampuni ya kigeni kutupigia rangi ndege zetu, sasa tunapiga rangi sisi wenyewe na tuna karakana ya kutengenezea NDEGE na mafundi wanajeshi wakutengeneza NDEGE tunao.
Wewe member wa JF, Q300 ni ndege ya zamani. Google basi hata kidogo ujifunze. Ndio maana imepelekwa nje maana itahitaji matengenezo maalum hii siyo bajaj. JF kweli kisima cha hekimaToooba yarabi yaani tuliambiwa kuwa hizo ndege ni mpya kabisa kutoka kiwandani na Jiwe.
TGFA sio ATCL MkuuNa nyie watu hadi mnaboa kwani lini hii nchi upigaji ulikwisha, akiwepo mwenda zake tu licha ya kujisifu walikuwa wanapiga tu!!mfano huko ATCL, walipiga bilioni mbili za matengenezo ya ndege, wakati ndege ilishakufa toka 2015!!kulingana na ripoti ya CAG!!kwani gari linapolekwa service huwa linaenda vipi?!!kuhusu kisiwa cha malta kuwa ni kudogo haina mashiko, kwani hayo makampuni yanayotengeneza hizo ndege, yanaamua wapi waweke kituo chao cha kufanyia service.
Ma "air hostage" kwenye lafudhi ya mwendazake!!Tujue pia idadi ya ( ma- Air hostage) waliokwenda na ndege hiyo
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Haaaa..kama ni zakuambiwa ila tulikua tumeambiwa na huku tunapewa na msisitizo, mimi ni mkweli! Na msema kweli ni mpenzi wa Mungu! MWENDAZAKE huyo!Sijakurukupuka hata kidogo..Za kuambiwa....Narudia tena ndege ilichorwa nembo ya Twiga na sio kupakwa rangi.
Babako jiwe mlitwambia kuwa ndege zote ni mpyaaaaaaa kwa sababu tumeripa keeeeeeeeshiiiiiiiiiiiWewe member wa JF, Q300 ni ndege ya zamani. Google basi hata kidogo ujifunze. Ndio maana imepelekwa nje maana itahitaji matengenezo maalum hii siyo bajaj. JF kweli kisima cha hekima
Hata maumbo yao ni ya ki zee zee tuMa "air hostage" kwenye lafudhi ya mwendazake!!
Wizi mtupu kwenye awamu ya 5Wewe member wa JF, Q300 ni ndege ya zamani. Google basi hata kidogo ujifunze. Ndio maana imepelekwa nje maana itahitaji matengenezo maalum hii siyo bajaj. JF kweli kisima cha hekima
😀😀😀Haaaa..kama ni zakuambiwa ila tulikua tumeambiwa na huku tunapewa na msisitizo, mimi ni mkweli! Na msema kweli ni mpenzi wa Mungu! MWENDAZAKE huyo!
Hii si mpya? Imekuaje tena?
Nadhani kwenye meli, kwa kuwa Malta ni visiwaniImepakiwa Kwenye nini