Ndege ya ATCL yapelekwa Visiwa vya Malta kwa ajili ya matengenezo

Taarifa rasmi iliyotolewa leo Mei 17, 2021 na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza kuwa Ndege 1 ya Shrika la Ndege Tanzania (ATCL) imepelekwa nchini Malta kwa ajili ya kufanyiwa matengenezo

Taarifa zaidi kutolewa

MCL
ndege ipi unaongelea.. toyota mesidisbenzi.... nisan.. au kile kibajaj... boxer... au bodaboda katapila au
 
Mbona enzi za Mwendazake ndege tulikua tukizipi ga rangi wenyewe, leo hii matengenezo tu zinapelekwa Malta kwenye kainchi kadogo hata wakazi wake hawafiki million moja!
Acha kukariri..Kuchora Twiga ndio kupiga rangi! Nitajie aircraft painting company moja Tz.
 
Na nyie watu hadi mnaboa kwani lini hii nchi upigaji ulikwisha, akiwepo mwenda zake tu licha ya kujisifu walikuwa wanapiga tu!!mfano huko ATCL, walipiga bilioni mbili za matengenezo ya ndege, wakati ndege ilishakufa toka 2015!!kulingana na ripoti ya CAG!!kwani gari linapolekwa service huwa linaenda vipi?!!kuhusu kisiwa cha malta kuwa ni kudogo haina mashiko, kwani hayo makampuni yanayotengeneza hizo ndege, yanaamua wapi waweke kituo chao cha kufanyia service.
Ndege hii ilikuwa mbovu kwa miaka minne, Leo ina ruka kwenda Malta, tuna jiuliza kweli hii ndege mbuvu? Imewezaje kwenda kwenye matibabu, au waliiweka kwenye meli sijui vivuko wakaisafirisha kwa njia ya maji?
Au ilikuwa ina fanya safari zake kwa ubovu hivyo hivyo?
Screenshot_20210517-171739.png
 
Acha kukariri..Kuchora Twiga ndio kupiga rangi! Nitajie aircraft painting company moja Tz.
Mkuu mambo yalikua mengi usikurupuke! enzi za MWENADAZAKE tuliambiwa tuliokoa mamilioni ya fedha ambae tulikua tukiyalipa makampuni ya kigeni kutupigia rangi ndege zetu, sasa tunapiga rangi sisi wenyewe na tuna karakana ya kutengenezea NDEGE na mafundi wanajeshi wakutengeneza NDEGE tunao.
 
Toooba yarabi yaani tuliambiwa kuwa hizo ndege ni mpya kabisa kutoka kiwandani na Jiwe.
Wewe member wa JF, Q300 ni ndege ya zamani. Google basi hata kidogo ujifunze. Ndio maana imepelekwa nje maana itahitaji matengenezo maalum hii siyo bajaj. JF kweli kisima cha hekima
 
Na nyie watu hadi mnaboa kwani lini hii nchi upigaji ulikwisha, akiwepo mwenda zake tu licha ya kujisifu walikuwa wanapiga tu!!mfano huko ATCL, walipiga bilioni mbili za matengenezo ya ndege, wakati ndege ilishakufa toka 2015!!kulingana na ripoti ya CAG!!kwani gari linapolekwa service huwa linaenda vipi?!!kuhusu kisiwa cha malta kuwa ni kudogo haina mashiko, kwani hayo makampuni yanayotengeneza hizo ndege, yanaamua wapi waweke kituo chao cha kufanyia service.
TGFA sio ATCL Mkuu
 
Sijakurukupuka hata kidogo..Za kuambiwa....Narudia tena ndege ilichorwa nembo ya Twiga na sio kupakwa rangi.
Haaaa..kama ni zakuambiwa ila tulikua tumeambiwa na huku tunapewa na msisitizo, mimi ni mkweli! Na msema kweli ni mpenzi wa Mungu! MWENDAZAKE huyo!
 
Wewe member wa JF, Q300 ni ndege ya zamani. Google basi hata kidogo ujifunze. Ndio maana imepelekwa nje maana itahitaji matengenezo maalum hii siyo bajaj. JF kweli kisima cha hekima
Babako jiwe mlitwambia kuwa ndege zote ni mpyaaaaaaa kwa sababu tumeripa keeeeeeeeshiiiiiiiiiii
Kumbe ...........
 
Wewe member wa JF, Q300 ni ndege ya zamani. Google basi hata kidogo ujifunze. Ndio maana imepelekwa nje maana itahitaji matengenezo maalum hii siyo bajaj. JF kweli kisima cha hekima
Wizi mtupu kwenye awamu ya 5
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom