Ndege ya ATCL ya abiria 250 kubeba abiria 36 kwa gharama ya Serikali ni ufisadi

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Rais Samia juzi kati alitoa ndege ya ATCL inayobeba abiria zaidi ya 200 kwenda kumbeba Dkt. Tulia na timu yake ya kampeni ya IPU kutoka Angola kurudi nchini kwa gharama za serikali.

Kwa mtazamo wangu huu ni ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za Umma.
 
Rais Samia juzi kati alitoa ndege ya ATCL inayobeba abiria zaidi ya 200 kwenda kumbeba Dr Tulia na timu yake ya kampeni ya IPU kutoka Angola kurudi nchini kwa gharama za serikali.

Kwa mtazamo wangu huu ni ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za Umma
Tunaelekea kubaya sana watanzania tuwe makini!
 
Rais Samia juzi kati alitoa ndege ya ATCL inayobeba abiria zaidi ya 200 kwenda kumbeba Dr Tulia na timu yake ya kampeni ya IPU kutoka Angola kurudi nchini kwa gharama za serikali.

Kwa mtazamo wangu huu ni ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za Umma
Ndo maana mnaitwa "watoa taarifa"
 
Mimi naendelea kusisitiza kwa mtanzania yeyote popote pale ulipo, ukipata nafasi au upenyo wa kukwepa kodi fanya hivyo kwa manufaa ya tumbo lako au familia yako. Kodi tunazolipa zinaenda mifukoni mwa wajanja. Ukijiona mzalendo sana endelea kulipa kodi kunufaisha matumbo ya viongozi.
 
Rais Samia juzi kati alitoa ndege ya ATCL inayobeba abiria zaidi ya 200 kwenda kumbeba Dkt. Tulia na timu yake ya kampeni ya IPU kutoka Angola kurudi nchini kwa gharama za serikali.

Kwa mtazamo wangu huu ni ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za Umma.
Hapo inaashiria kuwepo shida sehemu
 
Tulia Alisema Walipotumiwa Ndege Hiyo Ndiyo Wakafika Tanzania Haraka
Next Year CAG Check It
 
Rais Samia juzi kati alitoa ndege ya ATCL inayobeba abiria zaidi ya 200 kwenda kumbeba Dkt. Tulia na timu yake ya kampeni ya IPU kutoka Angola kurudi nchini kwa gharama za serikali.

Kwa mtazamo wangu huu ni ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za Umma.
Mambo ya kipuuzi kama haya ndiyo huyafanya mashiriki yote ya Serikali kuishia kutengeneza hasara za ajabu, kwa sababu ya watawala wasiojua biashara na uchumi.
 
Rais Samia juzi kati alitoa ndege ya ATCL inayobeba abiria zaidi ya 200 kwenda kumbeba Dkt. Tulia na timu yake ya kampeni ya IPU kutoka Angola kurudi nchini kwa gharama za serikali.

Kwa mtazamo wangu huu ni ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za Umma.
Unajuaje kama hawakuwa 200 ,Una evidence?
 
Rais Samia juzi kati alitoa ndege ya ATCL inayobeba abiria zaidi ya 200 kwenda kumbeba Dkt. Tulia na timu yake ya kampeni ya IPU kutoka Angola kurudi nchini kwa gharama za serikali.

Kwa mtazamo wangu huu ni ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na fedha za Umma.
Maza hana huruma na fedha za umma yeye anwaza kupiga pekee
 
Acha upotoshaji, ndege ilikuwa safarini SA - Ofisi ya bunge ilibook mapema nafasi hizo SO wkt ndege inatoka Johannesburg ilipita Angola kuwachukuwa abiria
 
Back
Top Bottom