Ndege ya ATCL yapelekwa Visiwa vya Malta kwa ajili ya matengenezo

Kanchi kenye wakazi 500,000 kametuzidi akili wenye wakazi milioni 60? Mpaka gereji zao ndo tunapeleka ndege kumwaga oil?
Tunajifanya wakuda ndio maan watu wenye akili hawawezi kuja kuwekeza.

Kama meko aliwanya’nganya waweke aji mashamba unategemea watakuja kirahisi
Au kama sabaya alikuwa na uwezo wa kuingia hotelini na kusumbua wageni kisa tu njaa zake na hakuna wa kumfanya kitu unategemea nini hapo?
 
Kanchi kenye wakazi 500,000 kametuzidi akili wenye wakazi milioni 60? Mpaka gereji zao ndo tunapeleka ndege kumwaga oil?
Yani ni hatari ilioje... Kalakana tumejenga. Kia tumejenga pia, huu ubovu ni wa aina gani ambao umewezesha ndege kupa masaa mengi mpka Malta lakini tume shindwa kufanya hapa nyumbani... Na madege mengine kama presishen nao ni hivyo hivyo?
 
Kanchi kenye wakazi 500,000 kametuzidi akili wenye wakazi milioni 60? Mpaka gereji zao ndo tunapeleka ndege kumwaga oil?
Sasa kama ccm inatupelekesha kama misukule yake ya Mataga, unategemea nini! Hatuna tunacho kiweza sisi! Kote ni shida tu! 😌

Tangu 1961, mpaka leo bado tunapambana dhidi ya maadui walewale! Maradhi, ujinga, umaskini na ccm! Waache wazitengeneze tu.
 
Taarifa rasmi iliyotolewa leo Mei 17, 2021 na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza kuwa Ndege 1 ya Shrika la Ndege Tanzania (ATCL) imepelekwa nchini Malta kwa ajili ya kufanyiwa matengenezo

Taarifa zaidi kutolewa

MCL
Toooba yarabi yaani tuliambiwa kuwa hizo ndege ni mpya kabisa kutoka kiwandani na Jiwe.
 
Naomba pia kujua zaidi imelekwaje na je mbona tunaambiwa tuna mainjinia hapa. Wameshindwa?

Back
Top Bottom