Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Sahau. Miaka 10 mtalalamikia kwanini wanashindwa kuendesha ndege. Hizo mabilioni changanya na ya aipitihela wangenunua madawati na kuboresha elimu ndege zingejileta. Hii ni aibu yao maana soon watajutia uamuzi.Mlishalimaliza magufuli anawanyanyua bado hamshukuru. Binadamu ni hatari. Hakukuwa na airtanzania tena mpaka huyu Baba kaianzisha. Huwezi kumanage millioni bile kuanza na elfu kumi. Miaka kumi tutakuwa na hayo makubwa msihofu. Baada ya miqka kumi Majaliwa tutampa Nchi nae ataongeza makubwa zaidi mpqka tuwe kama ET kwa miaka 20. Shukuru kwa kidogo ulichonacho. Safari moja huanzisha nyingine. Hiyo ndiyo kule kwetu tunaiita start over
we umeandika nini hiki?Watanzania ni washanmba kweli ati mmechora twiga hehe...mnafurahia na hii ndege inakaa imetoka madagascar
Twiga kitenguru. Logo zina maana sana kwenye hatma ya mwenye nayoHuyu wa zamani ata twiga wake alikuwa ametulia anakula majani yake vizuri tuu hana shida na mtu, ila huyu wa sasa ,ni kiboko.
Ndo huyo ashatua. Atataga soonNatafuta mayai ya kware [emoji3] [emoji3]
Msome barafu kwenye uzi mwingine wa kuikaribisha hiyo ndegeWalikuwa wanaiosha.
Ebu tujuzeeee kwa nn tulishindwaShirikisha na ubongo wako mkuu, we were biting more than we can chew, unajua kwa nini tulishindwana na hiyo ya juu??
Ni nene kwa ndani usiogopeTatizo ya sasa ni nyembamba sana
Napongeza la elimu 'bure'. Hiyo pesa ya ndege ilitakiwa ikaboreshe mapungufu ya 'elimu bure'.JPM walks the talk, aliahidi elimu bure, wanafunzi kukaa ktk madawati, ndege mpya, etc, sio wale wa kuongea tu na wasio na msimamo wa wanachokiongea!
Damn. Kweli man. Maana ndo utaratibu wa kuiingiza kundiniInabatizwa.
Hii nchi ina ndege nyingi sana. Sijui umetoa wapi hiyo dhana kuwa walikua na ndege moja...Mbona walioondoka wameshindwa kuonesha juhudi kama hizi? au ulikuwa ukifurahi kusikia nchi kubwa kama hii shirika lina ndege moja na wafanyakazi 200! Hebu kwenye ukweli tuseme kweli na sio kila kitu kukandamiza tu!
Halafu kurudishia mlango kwenye hall la sinema ambalo halina wateja ni ukichaa zaidi. Sipati picha wanaopongezahivi.......kurudishia mlango uliobomoka kwenye nyumba yako mwenyewe unayoishi ni maendeleo ya kupigiwa vigelele au ni wajibu?
tena mlango wenyewe uwe umebomeka baada ya wewe mwenyewe kuuangukia ukiwa njwii kwa ulabu!
this kantri buana!
Yap, tena south kama niko sahihi.
Na ukipanda utakua unawaza wanaokosa chanjo, manesi waliosoma na hawaajiriwi, polisi walioajiriwa wakacheleweshewa mishahara, maji hakuna, umeme kulipa haipitihela mabilioni, watoto wanaokaa chini ya mti na wa darasani bila dawati, n.k.Utadhani nchi hii ilikuwa inaendeshwa na Chama tofauti na hiki cha sasa, yaani wamefilisi wenyewe, halafu sasa wanalazimisha tuwasifie kwa kununua pangaboi zao, ukweli hizi ndege sipandi hata iweje kama kwa trip za Mwanza ntaendelea kutumia fastjet tu, bora nijulikane sina uzalendo
Mtoa huduma hapo uwanjaninndege ilipo ni huyo mwenye ngazi.View attachment 403867 ndo hii?!
Inzi wa ndo walozi[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]hii picha ya ndege ya zaman wameizoom sana ndio maana umeonekana kubwa..msiwe wajinga nyie mnao msupport huyo mtoa mada..ni bora mngelunganisha kwa specification kati ya zaman na sasa. ..ENYI NYUMBU NI NANI ALIYEWAROGA???