Ndege mbili kutua kwa mpigo Disemba hii

Ndege mbili kutua kwa mpigo Disemba hii

Baada ya ITV kutolewa Dstv nimepata fursa ya kuangalia vipindi mbali mbali cha TBC, sikujua km serikali inafanya mambo makubwa hivyo kwenye miundo mbinu. Mimi ni mpenzi sana wa miundombinu najua taifa lolote bila miundombinu haliwezi endelea. Leo nimeona stand ya kisasa inajengwa Njombe, Soko la kisasa linajengwa Njombe, barabara ya lami kwenda Makete inajengwa. Wiki iliyopita stendi ya kisasa imezinduliwa mpanda. Kule Songea ndo soon tunaunganishwa na Mbambabay kwa lami. Hivi ni vitu vichache sana ambavyo mheshimiwa Magu anafanya. Tuombe uhai tu ikifika 2000 wale mnaobeza hii miradi mtakuwa wa kwanza kunufaika nao. Mimi si mwana CCM lkn mshabiki wa Magufuli hasa kwenye Miundombinu na Kodi. Fikiria pale makumbusho palivyopendeza. Lkn upande wa sekta binafsi anahitaji maombi kwa kweli, watu walonae karibu wamshauri vizuri.
 
endelea kusaga sumu ila tafadhali usije kuturushia hio sumu uliyosaga!!!
 
Dreamliner vipi maendeleo yake? Ishu sio kutua tu, zinakuja kuwabeba kina nani na ktk kuwabeba hao je kuna faida ila cha msingi ni kusema tu na sisi tuna ndege bila kujali zina faida au laa.
saiz tunawaza kuwa na ndege, bussines plan hio tutajua mbele ya safari
 
Hii nchi kuna watu akili zao ni vizibo sana af. Mtu ambaye hawezi ku afford hata one meal per day anafurahia uwepo wa ndege
IQ yetu wataalamu wanasema iko low i.e 70......... among 10 of the worst countries!
 
Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096
Madege yakuja kututia hasara na hayana faida kwa mtanzania wa kawaida. Shiririka la ndege la south lina madege mengi lakini linapata hasara kila mwaka sembuse letu linaloongozwa na washamba kwa kutaftia kicks
 
Wakati mnashusha ndege huku hospitalini hakuna hata Panaldo tena ni hospital za hapa hapa Dar sasa huko vijijini hali ikoje?
 
Ipo Siku tutaukumbuka Ushauri wa kuanza focus na ndege za ndani na maboresho viwanja kupokea na kusambaza watalipwa.Safari za nje Ndege kubwa mahusiano na vivutio ndege mashirika makubwa. Business Life is in stages.
Duh....naamini hata wewe ukirudia kusoma hii meseji huwezi kuielewa!!!
 
Hii nchi kuna watu akili zao ni vizibo sana af. Mtu ambaye hawezi ku afford hata one meal per day anafurahia uwepo wa ndege
Niko na vijana wangu shambani kunako mali; ninawapa habari hii njema ya ujio wa air bus mbili. Wanauliza: na zile za kwanza wangetumia kutuletea maji huku kwetu?

Hawa ni watu ambao kama sio kula wanapokuwa shambani kwangu wanakula mlo mmoja kwa siku na kuoga mara moja au mbili kwa juma kwa ukosefu wa maji. Huduma ya afya iko km 50 plus kufika huko ni kwa boda TZS 40,000 au zaidi!

Binafsi naona priorities za serikali hii ziko upside down na sina cha kushangilia!
 
Mkuu wewe kipato chako kinakuruhusu kuziona tu na sio kusafiri nazo. Hongera kwa taarifa hizi.
 
Back
Top Bottom