Ndege mbili kutua kwa mpigo Disemba hii

Pongezi sana kwa serikali, ila tukumbushane tu chama chochote kikishika madaraka kinaweza kufanya hivi vitu vidogo vidogo vya kutumia asilimia 0.06% ya bajeti
Labda cuf ambao wana ofisi buguruni..ila sio kwa chama ambacho hata ofisi kimepangisha na kinapata ruzuku kuliko chama chochote cha upinzani.
 
Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096
img_20180902_113223-jpg.854226

Ethiopia ni miongoni mwa nchi zilizojikita katika biashara ya Anga huku wakiwa na Treni ya umeme lakini ndio hivyo tena kama uonavyo na kila kukicha tunakamata raia wao wakikimbia njaa nchini kwao, si ajabu na sisi yakatukuta
 
Zitto sikuhizi kaamua kujikalia kimya kuhusu ndege maana alitudanganya kweli! Mara terrible teens sijui mara nini sijui kapwaya mpaka basi
Dreamliner inaruka mara moja tu kwa siku ushawahi jiuliza kwanini? Sababu haina wateja wa kuweza kumudu gharama za urukaji wake
 
Sasa aibu kwa nani wakati hizo ndege zimenunuliwa kwa kodi zetu? Ingekua ni pesa za huyo mpenda sifa toka mfukoni mwake kweli ingekua aibu lakini kodi za wananchi au ndo ujinga na ushamba wa kiwango cha SGR
 
Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096
Huna tofauti na nyoka amgongae ng'ombe asiyeweza kummeza! Ulishawahi kutumia usafiri wa anga kwa namna yoyote ukiwa ndani ya nchi? Vipi kuhusu nduguzo nao hutumia usafiri huu? Bibi, babu na wajomba zako pamoja na mashangazi kuna hata mmoja autumiao usafiri wa anga? Unakusaidiaje moja kwa moja? Tabia ya nyoka!
 
Back
Top Bottom