Ndege mbili kutua kwa mpigo Disemba hii

Ndege mbili kutua kwa mpigo Disemba hii

Hii nchi kuna watu akili zao ni vizibo sana af. Mtu ambaye hawezi ku afford hata one meal per day anafurahia uwepo wa ndege
Dah...mkuu...kwahiyo unashauri bora ije na shehena ya unga?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Viva JPM and the team.

Job well done.

Keep up the good work.
 
Zitakuja Na mishahara Na mafao ya wafanyakazi?
 
Huna tofauti na nyoka amgongae ng'ombe asiyeweza kummeza! Ulishawahi kutumia usafiri wa anga kwa namna yoyote ukiwa ndani ya nchi? Vipi kuhusu nduguzo nao hutumia usafiri huu? Bibi, babu na wajomba zako pamoja na mashangazi kuna hata mmoja autumiao usafiri wa anga? Unakusaidiaje moja kwa moja? Tabia ya nyoka!

Dah...kweli bana... hata kivuko kipya cha kigamboni (hapa kazi tu) hakitusaidii chochote sisi wanatandahimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zinatua ndege mbili kwa mpigo bila shaka zitakuwa zimebebana mithili ya panzi wanaojamiiana.
 
Umeondolewa kwenye payroll ya Lumumba mitandaoni team 250,000/=per month!!!¿[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi kazi yako kuiponda serikali tuuu[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
namsubiri ISIS siku akikatwa kwenye malipo aje aungane na mwenzake
 
Ndiyo hapo ujuwe uwezo wa vijana wa chakubanga ni mdogo
Si tumenunua kwa pesa,sasa mlitaka zisije au?
Hapa unamnanga nani?Tungekuwa tunaletewa bure sawa,ila kwamuwa tumetoa mkwanja tena Cash,ni lazima zije au waturudishie hela yetu!!!!
Sioni mantiki ya uzandiki waki hapa!
 
Taifa la misifa
Dreamliner vipi maendeleo yake? Ishu sio kutua tu, zinakuja kuwabeba kina nani na ktk kuwabeba hao je kuna faida ila cha msingi ni kusema tu na sisi tuna ndege bila kujali zina faida au laa.
 
Nachopenda JPM yeye ni vitendo tu, blah blah anawaachia wanaopenda kutokutii sheria...
Yeye anasongo mbele na maneno yake always ni kwa vitendo, anaumiza vichwa na roho kwa kweli...
 
Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096
Aliyewaroga aliwafanya msherehekee upumbavu wenu
tapatalk_1544519847132.jpeg
 
img_20180902_113223-jpg.854226

Ethiopia ni miongoni mwa nchi zilizojikita katika biashara ya Anga huku wakiwa na Treni ya umeme lakini ndio hivyo tena kama uonavyo na kila kukicha tunakamata raia wao wakikimbia njaa nchini kwao, si ajabu na sisi yakatukuta

Tuna cha kujifunza hapa(zingatia mfano wa ethiopia ulioutoa), kwamba umasikini unaondolewa na mifumio mizuri ya UCHUMI, sio kuwa na rasilimali wala vitu! maana sisi rasilimali tunazo, vitu ndio kama hivyo vinaletwa tena kwa 'keshi'.....alafu watu kupata milo miwili tuu, uweze kupata akili za kufikiri ni tatizo...sasa sijui tutatembeaje vifua 'mbere' wakati kaptura zimeisha maklioni!
 
Si tumenunua kwa pesa,sasa mlitaka zisije au?

Hamkununua cash safari hii , mlilipa advance na sasa kumalizia deni ndio maana wamechapisha vitambulisho vya hawa machinga; huu ni mradi wa kudumu kupata fedha za kulipia ndege!!!
 
Hiyo ni sawasawa Baba wa familia kununua Toyota harier tako la nyani yenye thamani ya Milion 30 huku akiwa amepanga chumba na sebule na ana watoto 6 mchanganyiko.huko Tandale kwa mtogole.
haha...inategemea na priorities za baba....mwenyewe akama anachohitaji ni kusifiwa kwenye vkao vya bar, basi anakua ametimiza haja ya moyo!
 
Mm naipongeza sana serikali yetu kwa kuamua kutufufulia shirika letu la ndege, ila nina ombi watuangalie na sisi tunaotumia mabasi ya mwendokasi, hali ni mbaya sana msongamano vituoni na kwenye mabasi ni wakutisha , kama itaendelea hivi si muda mrefu tutachangishana rambirambi.
Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096
 
Back
Top Bottom