Ndege mbili kutua kwa mpigo Disemba hii

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
5,367
2,000
Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabarani
IMG_20181210_131732_053.JPG
 

squirtinator

JF-Expert Member
Sep 20, 2015
2,771
2,000
Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabarani View attachment 963096
Dreamliner vipi maendeleo yake? Ishu sio kutua tu, zinakuja kuwabeba kina nani na ktk kuwabeba hao je kuna faida ila cha msingi ni kusema tu na sisi tuna ndege bila kujali zina faida au laa.
 

HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,217
2,000
Sasa kipi cha kushangaza wakati Rais alitamka hadharani kuwa tumenunua ndege kwa hela cash bila kukopa?
Au nyinyi mnataka kutuambia kuwa Rais ni muongo na tusimuamini mpaka tuone kwa macho, kama ni ndege kila mtu anajua tunaweza kununua hata 100 ila kuna zaid ya kununua ndege na hapo watu ndio wanapopasemea.
Hivi ile ndege yetu ule mwezi November ilienda kule Mumbai?
 

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,903
2,000
Ipo Siku tutaukumbuka Ushauri wa kuanza focus na ndege za ndani na maboresho viwanja kupokea na kusambaza watalipwa.Safari za nje Ndege kubwa mahusiano na vivutio ndege mashirika makubwa. Business Life is in stages.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom