Haikusaidii kuwa mbeya kama jamaa yako, kwa hiyo zikija sh itapanda dhidi ya usd fara.Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096
Haikusaidii kuwa mbeya kama jamaa yako, kwa hiyo zikija sh itapanda dhidi ya usd fara.Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096
Wafuasi wa shetani mpaka Leo ni wengi kuliko wafuasi wa Mungu.Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096
Sijui kama umewahi kufika Ethiopian! Maswali kwako, unadhani bila kuwekeza kwenye miradi hiyo wangewekeza kwenye nini? Na bila kuwekeza kwenye hayo, kwenye list hiyo wangekuwa na hali gani?![]()
Ethiopia ni miongoni mwa nchi zilizojikita katika biashara ya Anga huku wakiwa na Treni ya umeme lakini ndio hivyo tena kama uonavyo na kila kukicha tunakamata raia wao wakikimbia njaa nchini kwao, si ajabu na sisi yakatukuta
Mkuu keshapata fahamu baada ya kumwagiwa maji mengi sasa anajitambuaUmeondolewa kwenye payroll ya Lumumba mitandaoni team 250,000/=per month!!!¿[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi kazi yako kuiponda serikali tuuu[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Hata kama usingekuwa na chama bado sio tatizo mradi tu umeponyoka kutoka kwenye domo la joka linalokula waTz kila kukichaMimi nilikuwa ni mwanachama na mpenzi wa dhati wa Chama Cha Mapinduzi nilikuwa silipwi nilikuwa nimejitolea kukiunga mkono Chama changu cha awali.
Ila nimeamua kukihama Chama cha Mapinduzi baada ya kushuhudia mambo ambayo nimeona hayako sawa ilani inapuuzwa katiba inapuuzwa,na mambo mengi ya kutisha dhidi ya wananchi.
Nilipokuwa ndani ya CCM nimeshuhudia haswa katika (awamu hii ya tano)mambo ya "kinazi" wanayofanyiwa wapinzani (ambao wapo kikatiba) ukiukwaji wa haki za binadamu.
Nimeamua kukihama Chama cha Mapinduzi kwa ridhaa yangu bila ya kulazimishwa na nimejiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
Wapinzani sio maadui kama tulivyoaminishwa huko nyuma wapinzani ndio wakosoaji na wachokonozi wakubwa tokea nihamie Chadema nimeanza kuufahamu upinzani vyema kabisa hakuna Udini wala Ukabila.
Amebatizwa kwa moto na Yohana(john).Bwahaahaaaahaaaaaa!!!!Mkuu keshapata fahamu baada ya kumwagiwa maji mengi sasa anajitambua
Mkuu hivi yule Lizaboni yupo wapi? Au anaisoma vizuri?Sijaandikiwa na Daktari kuwa nibaki CCM "milele" (kama mwenyekiti alivyosema) nimeamua kukihama Chama Cha Mapinduzi kwa ridhaa yangu..
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣Amebatizwa kwa moto na Yohana(john).Bwahaahaaaahaaaaaa!!!!
Aibu Kwako Wewe Unayefikiri Kuwa Hizo Ndege Ni Mali Ya Chama!Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096
Ubakaribishwa kushangalia mkuu[emoji41]Kwahiyo tutegemee serikali kuwa Airport hii December?
Kwani ukiwa mgumba unatakiwa chukia mwenzako akipata mtoto. Sio jukumu la serkali kugawia watu vyakula in daily basis.Hii nchi kuna watu akili zao ni vizibo sana af. Mtu ambaye hawezi ku afford hata one meal per day anafurahia uwepo wa ndege
Sio kwamba we ulitaka hii hela ikajenge hospitali kijijini kwenu badala ya kununua ndege.Si tumenunua kwa pesa,sasa mlitaka zisije au?
Hapa unamnanga nani?Tungekuwa tunaletewa bure sawa,ila kwamuwa tumetoa mkwanja tena Cash,ni lazima zije au waturudishie hela yetu!!!!
Sioni mantiki ya uzandiki waki hapa!
Kama nilitaka hivyo?Sio kwamba we ulitaka hii hela ikajenge hospitali kijijini kwenu badala ya kununua ndege.
Hii nchi kuna watu akili zao ni vizibo sana af. Mtu ambaye hawezi ku afford hata one meal per day anafurahia uwepo wa ndege