Ndege inaweza paa injini ikizima angani??

Ndege inaweza paa injini ikizima angani??

mkuu wengine tulikimbia hayo masomo toka tupo form one. kwa shule zenu sawa .topic nilisoma mimi ni Measurement tu. sijui zaidi ya hapo kaka .

Sasa kama ulikimbia na watu walikusomesha it's your self, tena ni upumbavu ambao ni aibu hata kuuweka hadharani.
If you real mean what you say.
 
Even in the event of the loss of all engines, an aircraft can keep its critical electrical systems running thanks to the ram air turbine which allows the crew to maintain control of the aircraft and to communicate with ground crews to determine the best course of action for the situation. This was the case with Air Transat Flight 236.
 
Sasa kama ulikimbia na watu walikusomesha it's your self, tena ni upumbavu ambao ni aibu hata kuuweka hadharani.
If you real mean what you say.
wewe ndiye mpumb...vu , kila mtu ana priority yake katika maisha... kuokusoma masomo yenu hayo siyo upumbavu.
 
wewe ndiye mpumb...vu , kila mtu ana priority yake katika maisha... kuokusoma masomo yenu hayo siyo upumbavu.

Sikatai kuhusu swala la priority.
Sasa wewe kama uliona priority yako at first sio elimu, inakuwaje unakuja kulalamika humu, kwamba hamuelewi maswala ya momentum !
 
Sijawahi fikiri kuingia ktk this situation with you bro, n if you want to drag me and drop into that level then i will not, since i have no time to.

Angalia vizuri mtililiko alio enda nao huyo dada hapo juu, nime mention tu momentum kwasabu aliigusia pale juu, ila ishu quote ile yapili ndiyo niliyojudge hapo in show off level mana momentum ni o-level n primary to broad schools wewe kuigusia hapa haiwezi kuwa for showing at al.

Sidhani kama you were serious coz it's below ur level sidhani kama ungefikiri hivi, i don't know you in this.

Amani iwe na wewe kaka
 
Even in the event of the loss of all engines, an aircraft can keep its critical electrical systems running thanks to the ram air turbine which allows the crew to maintain control of the aircraft and to communicate with ground crews to determine the best course of action for the situation. This was the case with Air Transat Flight 236.

Na ndio ndege hiyo air transat flight 236 nilio izungumzia... Asante sana MKUU kwa ufafanuzi.
 
piga ua, kwenye utengenezaji wa ndege lazima huwa wanachanganyaga na kauchawi kiduchu!' ...........
 
Wakuu habari!!
Wiki iliopita niliona documentary Nat Geo. Kuna ndege ya Canada 2001..ikiwa na abiria ilipata hitilafu angani na injini zote zilizima lakini pamoja na hayo iliweza kutembea kilometre 100 na kutua Salama uwanja wa ndege.

Sasa sijaelewa ni ilikuwaje ikafanikiwa kuendelea na safari bila injini???

Naomba kujuzwa.

Kisa engine kuzima ulitaka idondoke kama jiwe?utakuta hapa ilikua 35000 feet hewani kwahyo walichofanya pilots ni kumaintain descend ya hiyo ndege slowly mpaka kufikia airport.
 
Kwa hiyo hata baskeli ikitengenezwa kwa umbo la ndege nayo itapaa...we kweli jiniazi

We sio muelewa kumbe. Ingine ya ndege ndio inayosukuma ndege mbele na kuisaidia kupaa. Umbo lake linasaidia iendelee kukaa angani isidondoke kama jiwe.
So baskeli ukiipa umbo la ndege haipai hadi uipe engine ya kuisukuma.
 
Poa jiniazi ....mie ntatengeneza baskeli halafu ntaweka injini ya kuisukuma
 
Poa jiniazi ....mie ntatengeneza baskeli halafu ntaweka injini ya kuisukuma

Usisahau hiyo engine utakayoiweka, ukiactivate top gearr, iwe na uwezo wa kupeperusha angalau bajaji inayoweza kukatisha nyuma yake. Huo ndio uwezo unaozungumziwa wa engine kusukuma ndege iende mbele siyo engine kama ya passo.
 
Sikatai kuhusu swala la priority.
Sasa wewe kama uliona priority yako at first sio elimu, inakuwaje unakuja kulalamika humu, kwamba hamuelewi maswala ya momentum !
listern duude there is what we call multiple inteligence,yaani ww unaweza kuwa knowlegable kwenye mambo ya aviation na mm nikawa huko sielewei kitu but am good at fishing or carpentry na ww haya hujui kabisa na wote tuko inteligent lakini katika mambo tofauti kabisa.Kwa hiyo usimdharau asiyeelewa mambo sijui ya injini imezima angani sijui nn.
 
Back
Top Bottom