snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,165
Injini ni chanzo cha nishati ya kuwezesha chombo kifanye kazi,
Kama engine ni chanzo cha nishati, mafuta ni chanzo cha nini ?
Injini ni chanzo cha nishati ya kuwezesha chombo kifanye kazi,
Mkuu umenichanya maelezo yako na hiyo avatar hapo
Kwanini ndege ya Obama inakuchanyanya?unataka kuijua sana ili nini?
Kama engine ni chanzo cha nishati, mafuta ni chanzo cha nini ?
Watu wanatakiwa wazifahamu glider kwanza ndipo waelewe somo hili,glider ni kishada kikubwa ambacho watu hua wanaruka nacho hasa kwenye sehemu za milima au majabali hakina injini huwa kinaelea hewani umbali fulani,ndege kama vile Boeing matoleo ya 707 zina uwezo mkubwa sana wa kuelea hewani injini zikiwa zimezimwa kitendo hicho huitwa gliding,pia ndege za kampuni ya Airbus ambazo ni latest zikiwa karibu na mji rubani anaweza akaset ndege kwenye automatic na ikaweza kuutafuta uwanja yenyewe na kutua salama hapo ndipo teknologia ya wenzetu ilipofika utadhani ni science fiction.=gravitation force....itaendelea huku ikipungua ''height'' mdogo mdogo.
Pia ''aero dynamic mass balance'' itahusika...ni somo pana kidogo.....marubani huwa wanaifanya sana hii kwenye masommo yao...ndege huzimwa kabisaaa na huendelea kwa urefu kadhaaa na hata kutua...
Inategemea unazungumzia mafuta gani! maana mengine ni lubricant tu.
chukulia mfano mdogo tu wa baiskeli ambayo naamini unayo ukiwa unapiga pedeli halafu ukasitisha kupiga na hujaaply break unadhani itasimama mara moja?!
Engine zinatumia mafuta ambayo ndicho chanzo cha nishati, usianze maswala ya lubricants hapa God ain't made your eyes black.
Kwani engine ni lazima itokane na nishati ya mafuta? niliposema injini ni chanzo cha nishati nilimaanisha nishati inayoendesha mitambo mingine sio nishati inayoendesha engine yaani nishati ya engine.
Miwe mnaangalia documentaries za air crush investigation sio kila siku mnaangalia movie za kinaijeria.
Injini ni chanzo cha nishati ya kuwezesha chombo kifanye kazi, sasa unaposema injini ikizima mitambo mingine inafanya kazi, swali hiyo mitambo mingine inatoa wapi nishati kuwezesha kufanya kazi?
The Auxiliary Power Unit (APU). Tuliite emergency generator.
Utakuwa unaongelea IFR (Instrument Flight Rules) na VFR (Visual Flight Rules)Pia atajaza kama atatumia visual ama njia nyingine (nimeisahau jina ila ni digitali zaidi).
Sasa nije kwenye pointi, Je, ndege itawezaje kutafuta uwanja na kutua wakati wakati kawaida rubani hufanya kuomba kutua! je, ni ndege yenyewe itawasiliana na ATC!
Momentum yake iliiwezesha kuendelea na safari, pia kiwanja kilikuwa karibu. Pia kufeli kwa injini hakumaanishi kwamba kila kitu kinafeli.