nimesota
Senior Member
- Jan 16, 2015
- 123
- 53
na wewe unahoji kama nani? au wewe ni Michelle? hovyo kabisa wewe.
hahahaa dah
na wewe unahoji kama nani? au wewe ni Michelle? hovyo kabisa wewe.
Kazi ya engine ni kusukuma ndege iende mbele. Kuelea Angani kunasapotiwa na umbo lake.
kuna kichumba special kwa rais,ndege ikipata hitilafu na haiwezi okolewa wanamkimbizia humo,kisha chumba kinajidetach(kujitenga) na ndege na kuanguka pekee yake kikiwa suppoted na miamvuli kupunguza kasi ya impact kitapoanguka chini.
na wewe unahoji kama nani? au wewe ni Michelle? hovyo kabisa wewe.
Momentum yake iliiwezesha kuendelea na safari, pia kiwanja kilikuwa karibu. Pia kufeli kwa injini hakumaanishi kwamba kila kitu kinafeli.
Injini ni chanzo cha nishati ya kuwezesha chombo kifanye kazi, sasa unaposema injini ikizima mitambo mingine inafanya kazi, swali hiyo mitambo mingine inatoa wapi nishati kuwezesha kufanya kazi?
ENGINEERS walishaliona hilo, so injini ikifeli ndio hata milango isifunguke au mbawa zisiweze kubadili mwelekeo, au mawasiliano yakatike.....?
Wakuu habari!!
Wiki iliopita niliona documentary Nat Geo. Kuna ndege ya Canada 2001..ikiwa na abiria ilipata hitilafu angani na injini zote zilizima lakini pamoja na hayo iliweza kutembea kilometre 100 na kutua Salama uwanja wa ndege.
Sasa sijaelewa ni ilikuwaje ikafanikiwa kuendelea na safari bila injini???
Naomba kujuzwa.
na pia hata hydrolic system inaweza kuwa active kwa muda kiasi. hadi stored pressure itakapoisha. hii ni kwaajili tu ya rescue.Mlango unaweza kuwa manual
If that is what u mean, then you're wrong.
Ninachoongea nilitoa askcaptain.com kuwa kama ndege ikizima angani, rubani bado anakuwa na uwezo wa ku-control flaps, wings nk hivyo kumwezesha kutua salama ila si kwa umbali mrefu sana.
Na pia anasema kazi ya engine ni kuisukuma ndege mbele.