Kuna huyu bwana mohamed toka tanzania, aliyeponywa masikio, lafudhi yake inatia shaka, huenda anatumia pasi ya tz.
Hizo ni mbinu za kitapeli... usikubali kuwekwa mtu kati....! Hivi vitu vinapangwa....
Dini ya mtume @work.
msimu huu hujaenda na kaka fred kuomba urais..1: Rais wa Malawi ndani ya nyumba ya ibada
2: Deligates kutoka South Sudan, wamekuja na barua kutoka kwa rais akishukuru na kuomba sala zaidi kuhusu unrest iliyopo. Sala imeendeshwa ya cease fire Now.
3: Mwaka 2014 ni 'bridge' year
4: Mataifa madogo yatainuka na makubwa yataporomoka.
5: Opressers next year is not their year.
hapo juu Adiel kadai miaka miwili,we nae unadai miaka 13!tumuelewe nani?endeleeni mashabikiNamuona ndugu Mohamed toka Tanzania kaponywa uziwi alokuwa nao kwa miaka 13 hapa na sasa anasikia na kuongea vizuri.
unamuamini TB JOSHUA?MwanaCBE achana na mzee wa upako. Tunatakiwa tuombe Mungu atupe neema ili kuweza kuweza kulibuka daraja ktk 2014
scoan 29 ni nini? Samahan kwa ujinga wangu
unamuamini TB JOSHUA?
Hiyo no. 5 si Marekani kweli....1: Rais wa Malawi ndani ya nyumba ya ibada
2: Deligates kutoka South Sudan, wamekuja na barua kutoka kwa rais akishukuru na kuomba sala zaidi kuhusu unrest iliyopo. Sala imeendeshwa ya cease fire Now.
3: Mwaka 2014 ni 'bridge' year
4: Mataifa madogo yatainuka na makubwa yataporomoka.
5: Opressers next year is not their year.
MUNGU akubariki sana kwa updates zako coz huku Emanuel t.v ina scratch kweli