Ndani ya nchi yetu fisadi ni mtu mmoja tu ambaye serikali imeshindwa kumchukulia hatua ?

Mkuu nakukatalia ndani ya nchi Yetu iliyochini ya chama mahili CCM mafisadi ni wengi sana ambao Mh.Magufuli anahangaika nao Na wote ni wana CCM DAMU
majipu yamejaa huko alipo sijui kama utumbuaji unaanzia wapi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hamna watu mafisadi kama hao waliopo ndani ya serikali na chama cha mapinduzi,just imagine kwenye kampeni tu za mgombea wao wa urais wanakamati wa kampeni wakapiga hela,yaani inashangaza mno kuna watu wanaifisadi nchi mpaka leo wala hawaguswi wakati Lowassa mwaka karibu wa tisa huu hayuko serikalini.
 
Vijana wa lumumba bwana njaa mbaya buku saba kwa siku mtu anakula ananunua mahitaji kweli sasa kwa nini vijana wa ccm wasiwe Mafisadi wakipata madaraka coz buku saba haitoshi baada waje singinda tulime vitunguu wamekalia kupika majungu kutengeneza fitina eti ndo siasa kweli?
 
Mkuu ni lengo la hawa mafisadi katika kutaka kufifisha habari za ufisadi mkubwa kuhusu Lugumi, ukwapuzi wa UDA, PRIDE, nyumba za Serikali, Escrow, sera za kukurupuka ambazo zimeanza kuleta athari kubwa nchini, ubakaji wa demokrasi nchini na madudu mengine ya hii Serikali na Serikali za awamu zilizopita.

Si kweli hao walikuwa wanachukua pesa za watumishi hewa wamefanywaje au tumeishia kujua idad ya watumishi hewa ni wangapi? Je wahusika wamewajibishwa kwa kuiibia serikal?
 
Mkuu ni lengo la hawa mafisadi katika kutaka kufifisha habari za ufisadi mkubwa kuhusu Lugumi, ukwapuzi wa UDA, PRIDE, nyumba za Serikali, Escrow, sera za kukurupuka ambazo zimeanza kuleta athari kubwa nchini, ubakaji wa demokrasi nchini na madudu mengine ya hii Serikali na Serikali za awamu zilizopita.
Tutamkubuka sana JK pamoja na udhaifu wake lakini hakuwahi kuzuia uhuru wa vyombo vya habari kama kwenye utawala huu wa kutumbua vipele taifa lipo kwenye wakati mgumu unakuta wapuuzi wachache wanajitoa ufahamu kuteteea huu upuuzi ?mkuu BAK huko ulipo hali sukari ipoje?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu ni lengo la hawa mafisadi katika kutaka kufifisha habari za ufisadi mkubwa kuhusu Lugumi, ukwapuzi wa UDA, PRIDE, nyumba za Serikali, Escrow, sera za kukurupuka ambazo zimeanza kuleta athari kubwa nchini, ubakaji wa demokrasi nchini na madudu mengine ya hii Serikali na Serikali za awamu zilizopita.
Sasa kwanini wamng'ang'anie mtu mmoja kumbe wako wengi? Kwani Lowasa ndo alikuwa anakula mishahara ya wafanya kazi hewa? Lowasa ndo kaficha sukari? Lowasa ndo anahusika na Lugumi? Lowasa ndo anahusika na uuzwaji wa nyumba za serikal na mambo ya escro? Kama ndio inamaana ananguvu kuliko serikali na vyombo vyake kiasi kwamba wanashindwa kumkamata?
 
Back
Top Bottom