ushahidi kwa miaka nane!Labda wanakusanya ushahidi ndio wampeleke mahakamani.
Si kweli hao walikuwa wanachukua pesa za watumishi hewa wamefanywaje au tumeishia kujua idad ya watumishi hewa ni wangapi? Je wahusika wamewajibishwa kwa kuiibia serikal?
Salama kabisa mkuu wangu umepotea sana humu JF@BAK
Tutamkubuka sana JK pamoja na udhaifu wake lakini hakuwahi kuzuia uhuru wa vyombo vya habari kama kwenye utawala huu wa kutumbua vipele taifa lipo kwenye wakati mgumu unakuta wapuuzi wachache wanajitoa ufahamu kuteteea huu upuuzi ?mkuu BAK huko ulipo hali sukari ipoje?Mkuu ni lengo la hawa mafisadi katika kutaka kufifisha habari za ufisadi mkubwa kuhusu Lugumi, ukwapuzi wa UDA, PRIDE, nyumba za Serikali, Escrow, sera za kukurupuka ambazo zimeanza kuleta athari kubwa nchini, ubakaji wa demokrasi nchini na madudu mengine ya hii Serikali na Serikali za awamu zilizopita.
karibu sana mkuu nilimiss sana michango yako humu JF
Sasa kwanini wamng'ang'anie mtu mmoja kumbe wako wengi? Kwani Lowasa ndo alikuwa anakula mishahara ya wafanya kazi hewa? Lowasa ndo kaficha sukari? Lowasa ndo anahusika na Lugumi? Lowasa ndo anahusika na uuzwaji wa nyumba za serikal na mambo ya escro? Kama ndio inamaana ananguvu kuliko serikali na vyombo vyake kiasi kwamba wanashindwa kumkamata?Mkuu ni lengo la hawa mafisadi katika kutaka kufifisha habari za ufisadi mkubwa kuhusu Lugumi, ukwapuzi wa UDA, PRIDE, nyumba za Serikali, Escrow, sera za kukurupuka ambazo zimeanza kuleta athari kubwa nchini, ubakaji wa demokrasi nchini na madudu mengine ya hii Serikali na Serikali za awamu zilizopita.