Ndani ya nchi yetu fisadi ni mtu mmoja tu ambaye serikali imeshindwa kumchukulia hatua ?

Na mtakatifu ni mmoja tu Dr. Pombe, yenye huwa hakosei kabisa, ametukuka mno! Ni suala la muda tu "vyura" wa Lumumba wataanza kumtungia nyimbo za kumsifu na kumuabudu. Si ajabu tukaanza kuaminishwa na vyura wa Lumumba kuwa ukitaka kufika Mbinguni huna budi kukiri Dr. Pombe ndio mtakatifu pekee duniani aliyetumwa kuukomboa ulimwengu na maovu.
 
salute kwako mkuu

Heshima kwenu wana JF,

Kwa muda mrefu kumekuwa tuhuma zinaendelea kwenye mtandao ya kijamii hasa humu JF. Kuhusu tuhuma za ufisadi ambazo muhusika anasemwa sana Lowassa.Nakumbuka wakati Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais wakati akiwa CCM katika uwanja stadium Arusha alisema mwenye ushahidi yeye ni fisadi aende mahakamani na kama huna ushahidi nyamaza kimya.

Baaada ya mchakato wa Lowassa kuhamia CHADEMA kumekuwa na upotoshaji mkubwa unaofanywa vijana wa Lumumba wakiongozwa na Lizaboni kuhusu Lowassa.

Nchi ipo kwenye hali mbaya kutokana uhaba mkubwa wa sukari nchini bado watu wamekuwa wakileta mambo ya siasa mpaka kwenye kumtuhumu wafanyabiashara ambao wameficha sukari ni marafiki zake Lowassa, je serikali imeshindwa kuwachukulia hatua hao marafiki zake Lowassa?

Tuweke itikadi za vyama pembeni tujadili swala hili fisadi mkubwa ndani ya nchi yetu ni Lowassa tu? Serikali imeshindwa kumchukulia hatua mtu mmoja?
Wewe Lizabon bado Upo gheto Kwa Lugumi ?
 
Pale mbeya kipindi cha kampeni mwakyembe alisema ana ushahidi wote kuwa Lowasa ni fisadi na aliahidi kufungua kesi Muda wowote kabla ya siku ya uchaguzi ambayo ilikua Oct 25. Mpaka Leo ni miezi sita imepita mwakyembe yupo kimya sasa sijui kwanini serikali ya ccm imeshindwa kumkamata huyo Lowasa toka 2008 hadi Leo. Katika utumbuaji wa yanayoitwa majibu (mimi sipendi jina hili) wanaotumbuliwa ni wengine lakini Lowasa hajaguswa zaidi ya kelele za akina Lizaboni, singidadodoma, Ritz, simiyu yetu na sampuli nyingine kama hizo hapa jf.
Mwakyembe mwenyewe ni JIPU pesa za mabehewa mabovu ndizo alinunulia goli la mkono huko Jimboni kwake , ccm wana Majipu mengi sana hawawezi kuyamaliza Leo .
 
atakuwa anaosha vyombo
siku Hizi ana njaa baada ya Membe kumaliza Mabilion ya Gadafi na NIDA kaamua kuhamia Kwa Lugumi Huyo Lizabon ana matatizo sana kutwa kuzunguka Kwa wenye Majipu kuchukua pesa na kuja kuwatetea .
 
siku Hizi ana njaa baada ya Membe kumaliza Mabilion ya Gadafi na NIDA kaamua kuhamia Kwa Lugumi Huyo Lizabon ana matatizo sana kutwa kuzunguka Kwa wenye Majipu kuchukua pesa na kuja kuwatetea .
huyu Lizaboni ujira wake anategemea buku 7 ndo huwa anajitoa ufahamu humu lakini kwenye hoja za msingi huwezi kumwona kabisa
 
Heshima kwenu wana JF,

Kwa muda mrefu kumekuwa tuhuma zinaendelea kwenye mtandao ya kijamii hasa humu JF. Kuhusu tuhuma za ufisadi ambazo muhusika anasemwa sana Lowassa.Nakumbuka wakati Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais wakati akiwa CCM katika uwanja stadium Arusha alisema mwenye ushahidi yeye ni fisadi aende mahakamani na kama huna ushahidi nyamaza kimya.

Baaada ya mchakato wa Lowassa kuhamia CHADEMA kumekuwa na upotoshaji mkubwa unaofanywa vijana wa Lumumba wakiongozwa na Lizaboni kuhusu Lowassa.

Nchi ipo kwenye hali mbaya kutokana uhaba mkubwa wa sukari nchini bado watu wamekuwa wakileta mambo ya siasa mpaka kwenye kumtuhumu wafanyabiashara ambao wameficha sukari ni marafiki zake Lowassa, je serikali imeshindwa kuwachukulia hatua hao marafiki zake Lowassa?

Tuweke itikadi za vyama pembeni tujadili swala hili fisadi mkubwa ndani ya nchi yetu ni Lowassa tu? Serikali imeshindwa kumchukulia hatua mtu mmoja?
Fisadi yupi ? Sukari ipi imefichwa? Watu wamehifadhi sukari zao Stoo Kwa ajili ya viwanda vyao vya vinjwaji nk mnadai wameficha ? Acheni kuwasingizia Uongo hakuna aliyeficha sukari bali kilichotokea ni uhaba wa sukari baada ya kukurupuka na kuzuia vibali pasipo kuitathimini wala kushauriana na bodi ya sukari , Richmond ya sukari inakuja maana wajanja wamejipenyeza humo humo wanatumia fursa ya kufa kufaana. Lawama zote zinaenda Kwa Yule aliyezuia vibali kisa muagizaji sukari mmoja hakumchangia kwenye kampeni akaamua kumkomoa sasa analiumiza Taifa Huku Lizaboni akikesha kumsifia pasipo kuweka njaa pembeni amkosoe kwanza.
 
Fisadi yupi ? Sukari ipi imefichwa? Watu wamehifadhi sukari zao Stoo Kwa ajili ya viwanda vyao vya vinjwaji nk mnadai wameficha ? Acheni kuwasingizia Uongo hakuna aliyeficha sukari bali kilichotokea ni uhaba wa sukari baada ya kukurupuka na kuzuia vibali pasipo kuitathimini wala kushauriana na bodi ya sukari , Richmond ya sukari inakuja maana wajanja wamejipenyeza humo humo wanatumia fursa ya kufa kufaana.
kwenye swala wa sukari Magu alikukurupuka .hivi huyu malaika hana washauri ?
 
kwenye swala wa sukari Magu alikukurupuka .hivi huyu malaika hana washauri ?
Ni bora mara kumi aombe msamaha kisha aje na jawabu la kudumu , lakini anaona Aibu kuomba ladhi anadhani atajishusha matokeo yake anawaletea Usumbufu wenye akiba zao huko Stoo kutwa wanagongewa milango kusumbuliwa .
 
kwani jinsi alivyo japokuwa alikosea kwenye kufanya maamuzi hawawezi kuomba radhi kuna siku wiki tatu zimepita akiwa njiani anatokea Dodoma nilisikia akitoa kauli walioficha sukari anawajua wote sasa najiuliza vyombo husika wameshindwa kuwakamata hao wahusika?pia Waziri mkuu alisema kuna sukari imeshaagizwa tani zimeshaingia nchi sielewi mpaka hizo sukari zimekwama huko juu ?

Back
Top Bottom