Ndani ya nchi yetu fisadi ni mtu mmoja tu ambaye serikali imeshindwa kumchukulia hatua ?

Ufisadi wa LOWASSA ni wa kusadikika tu! Hakuna mwenye ushahidi wa moja kwa moja!
Mimi naamini LOWASSA ni msafi kuliko theluji!
 
Hii nchi tatizo ni CCM sio Lowassa,basi na aliekuwa malaika ndani ya CCM ajitokeze..
 
Ufisadi ni mfumo ambao ulijengwa na serikali ya awamu ya pili,tatu na nne.Kuwalaumu wananchi ni kutouona ukweli.Alivyo baba ndivyo alivyo mtoto.Viongozi wa awamu hizo ndio wanaopaswa kubeba most of the blame.The most appropriate solution ni kusahau yaliyopita tuanze upya kwa kuwa hatuko tayari kuwawajibisha viongozi wa awamu hizo.
Heshima kwenu wana JF,

Kwa muda mrefu kumekuwa tuhuma zinaendelea kwenye mtandao ya kijamii hasa humu JF. Kuhusu tuhuma za ufisadi ambazo muhusika anasemwa sana Lowassa.Nakumbuka wakati Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais wakati akiwa CCM katika uwanja stadium Arusha alisema mwenye ushahidi yeye ni fisadi aende mahakamani na kama huna ushahidi nyamaza kimya.

Baaada ya mchakato wa Lowassa kuhamia CHADEMA kumekuwa na upotoshaji mkubwa unaofanywa vijana wa Lumumba wakiongozwa na Lizaboni kuhusu Lowassa.

Nchi ipo kwenye hali mbaya kutokana uhaba mkubwa wa sukari nchini bado watu wamekuwa wakileta mambo ya siasa mpaka kwenye kumtuhumu wafanyabiashara ambao wameficha sukari ni marafiki zake Lowassa, je serikali imeshindwa kuwachukulia hatua hao marafiki zake Lowassa?

Tuweke itikadi za vyama pembeni tujadili swala hili fisadi mkubwa ndani ya nchi yetu ni Lowassa tu? Serikali imeshindwa kumchukulia hatua mtu mmoja?
 
Vijana wa ufipa wanapeana moyo,teh teh teh,inafurahisha sana kumuona kijana wa kitanzania anayejiita mpinzani anawaambia ccm watoe ushahidi!!
 
Ufisadi wa LOWASSA ni wa kusadikika tu! Hakuna mwenye ushahidi wa moja kwa moja!
Mimi naamini LOWASSA ni msafi kuliko theluji!
Uko sahihi mkuu naamini hakuna fisadi anayeweza kutoka huko ukoo wa mafisadi akabaki salama wapuuzi wanalalamika na kupiga kelele bila kuwa ushahidi
 
Sisi vijana wa Lumumba tumewasikia mnavyo bwabwaja ukweli ni kwamba hao wote ni mafisadi lakini hatuwezi kuwananga kwa sababu wako ndani ya chama ila wakitaka waone nguvu yetu waondoke kwenye chama ndipo tutawaweka kundi moja na Lowassa
 
Vijana wa ufipa wanapeana moyo,teh teh teh,inafurahisha sana kumuona kijana wa kitanzania anayejiita mpinzani anawaambia ccm watoe ushahidi!!
Kwa hiyo Chadema ndo wanaendesha nchi ndo maana wanaogopa kumchukulia hatua Lowasa kwa zaidi miaka 8 ya tuhuma zenu?
 
Mkuu Kill 4 nilichojifunza ukiwa CCM wewe msafi ukitoka CCM kwenda upinzani wewe ni fisadi ndo maana wanaoneza hizo proganda kuhusu Lowasa ukiwaambiwa leteni ushahidi wanaishia kuandika pumba. Lowasa ni tunu ya taifa
 
Heshima kwenu wana JF,

Kwa muda mrefu kumekuwa tuhuma zinaendelea kwenye mtandao ya kijamii hasa humu JF. Kuhusu tuhuma za ufisadi ambazo muhusika anasemwa sana Lowassa.Nakumbuka wakati Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais wakati akiwa CCM katika uwanja stadium Arusha alisema mwenye ushahidi yeye ni fisadi aende mahakamani na kama huna ushahidi nyamaza kimya.

Baaada ya mchakato wa Lowassa kuhamia CHADEMA kumekuwa na upotoshaji mkubwa unaofanywa vijana wa Lumumba wakiongozwa na Lizaboni kuhusu Lowassa.

Nchi ipo kwenye hali mbaya kutokana uhaba mkubwa wa sukari nchini bado watu wamekuwa wakileta mambo ya siasa mpaka kwenye kumtuhumu wafanyabiashara ambao wameficha sukari ni marafiki zake Lowassa, je serikali imeshindwa kuwachukulia hatua hao marafiki zake Lowassa?

Tuweke itikadi za vyama pembeni tujadili swala hili fisadi mkubwa ndani ya nchi yetu ni Lowassa tu? Serikali imeshindwa kumchukulia hatua mtu mmoja?
 
Huo

huo ndo ukweli mkuu wangu Emma.
 
hasara ya kukurupuka ni kubwa sana
Kukurupuka itatugharimu sana umeona mpaka kwenye swala la sukari tuliambiwa kuna wafanyabiashara wameficha sukari lakini tatizo la sukari limeshakuwa kubwa wananchi wanateseka kwa sababu ya kauli za kukurupuka
 
Waziri mkuu alisema serikali imeshaagiza sukari sijui tani ngapi ziko wapi ? au zimekwama?
 
Heshima kwenu wana JF,

Kwa muda mrefu kumekuwa tuhuma zinaendelea kwenye mtandao ya kijamii hasa humu JF. Kuhusu tuhuma za ufisadi ambazo muhusika anasemwa sana Lowassa.Nakumbuka wakati Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais wakati akiwa CCM katika uwanja stadium Arusha alisema mwenye ushahidi yeye ni fisadi aende mahakamani na kama huna ushahidi nyamaza kimya.

Baaada ya mchakato wa Lowassa kuhamia CHADEMA kumekuwa na upotoshaji mkubwa unaofanywa vijana wa Lumumba wakiongozwa na Lizaboni kuhusu Lowassa.

Nchi ipo kwenye hali mbaya kutokana uhaba mkubwa wa sukari nchini bado watu wamekuwa wakileta mambo ya siasa mpaka kwenye kumtuhumu wafanyabiashara ambao wameficha sukari ni marafiki zake Lowassa, je serikali imeshindwa kuwachukulia hatua hao marafiki zake Lowassa?

Tuweke itikadi za vyama pembeni tujadili swala hili fisadi mkubwa ndani ya nchi yetu ni Lowassa tu? Serikali imeshindwa kumchukulia hatua mtu mmoja?
Mkuu hebu jiulize chanzo cha Lowassa kuitwa fisadi kilianzia CCM?
 
Back
Top Bottom