Ndani ya CHADEMA: CCM anaingia, CCM anatoka

Ndani ya CHADEMA: CCM anaingia, CCM anatoka

Tatizo la Chadema ni ukanda!!!
Umemsahau Mwenyekiti wako anavyotukuza ukanda??

Unaweza kuiitaje hatua ya Rais Magufuli kuwambia wakazi wa Mwanza kuwa "wasibomoleshwe" kwa kuwa CCM ina human face, wakati huo huo "akiwabomolesha" wakazi wa Kimara hadi Kiluvya bila hata ya kulipwa fidia, kwa kuwa wakazi hao walichagua Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015!
 
Acha uongo mtu mzima! Hakuna mwanzilishi ye yote wa CHADEMA ambaye hakuwa mwanachama wa CCM!

CCM ilihodhi wafanyakazi wote, wanafunzi wote na wananchi wengi wakiwemo wafanyabiashara na wakulima. Hivyo ni wazi wanachama wengi wa vyama vya upinzani lazima watoke CCM!

Kabisa na upinzani imara lazima uwe na watu kutoka chama kingine kikubwa sasa watu wanataka chadema iwe kama chausta au jahazi asilia
 
Ilankunda1234
Kaka yangu naijua chadema vizuri sana na naijia ccm vizuri sana kwani nikizaliwa enzi za tanu, ccm imenikita tayari nipo duniani, hivyo naijia vizuri sana, nataka nikuulize tu ile top ranking ya watawala unaona wote hawana doa ni wasafi? Hata leo mkuu aseme anakwenda chadema basi watawala mtakuka na hoja za ubadhirifu wa pesa kama kivuko, nyumba n.k, nikwambie kitu ki1, hakuna msafi kule, ni wasafi wakiwa huko wakitoka wanaonekana wachafu, joka la crossed eyes sasa hivi mnamtizama tu, akitoka ndio mnaanza kusema, kwanini huyo mtu msimkamate na mkamchunguza alipokiwepo huko, usifate mkumbo ndugu hata ikifika jioni unapewa mb zako upotoshe,
 
Kwamba mboe afukuze watu wote ambao walikuwa ccm before then chama kitabaki na watu gani? Hao watu watakuwa na impact gani ? Chama chochote duniani lazima kiwe na watu kutoka chama kikubwa
Mbowe na viongozi wenzie waje na sera na mikakati yenye maono na mafanikio ya muda mrefu.
Waandae sera na wazisimamie hadi mwisho, kwa sasa hakuna sera rasmi ya CDM. Wafuasi na viongozi wanaendeshwa na upepo wa matukio hasa yenye kumpinga Magufuli tu. Hawaji na ubunifu wa sera na mkakati wa kujipambanua kwamba sera zake zitaondoa madhaifu ya CCM.

Sasa wanasubiri Raisi au mawaziri waongee au waje na mkakati fulani na wao wapinge kila kitu hata kama hicho walikipendekeza wao.

Ukipokea wanachama kwa upepo wa matukio yanayopita basi tegemea ule upepo wa tukio ukiondoka unaishia kuondoka na wafuata upepo. Kama mtu alijiunga CDM kwa sababu ya sera flani na bado chama kinaendelea kuzisimia inakuwa ngumu huyo mtu kuondoka. Sana sana atajaribu kushawishi wanaomzunguka kujiunga nae huko chama alichopendezwa na sera zake.

Msingi wa CDM ulipotea 2015 na wengi tulioipenda CDM ile ya sera ya kupinga ufisadi, uwajibikaji na uadilifu wengi tuliacha kukishabikia au kuwa wafuasi wake tangu wakati huo.
 
Ashukuru Kigwangalla anazidi kumfanya asikike.!
Na kusikika ni sehemu ya uanasiasa. Nyalandu inawezakana ni mwanasiasa aliyepoa lakini bado ni mwanasiasa. "Mjamaa" wa Kanada siasa ni fani anuai inayohusisha mambo mtambuka!!

Mimi nakubaliana na Petro E. Mselewa kwenye baadhi ya mambo lakini si kweli kwamba kifo cha CHADEMA kimekaribia na wala CHADEMA haifanani na NCCR-Mageuzi ya kina Marando na Mrema na wala hizi si zama zile!
 
kwa sasa hakuna sera rasmi ya CDM.
Mbona watanzania mnasahau kwa haraka namna hii. Kila siku hotuba za kambi ya upinzani zinakataliwa kusomwa bungeni hizo sera mbadala waje nazo wapi?

Halmashauri zimepokonywa mapato na rasirimali zake kadhaa kwa kuwa tu nyingi ya Halmashauri za mijini zinaendeshwa na UKAWA. unataka hizo sera mbadala wakazioneshee wapi?
 
Kaka yangu naijua chadema vizuri sana na naijia ccm vizuri sana kwani nikizaliwa enzi za tanu, ccm imenikita tayari nipo duniani, hivyo naijia vizuri sana, nataka nikuulize tu ile top ranking ya watawala unaona wote hawana doa ni wasafi? Hata leo mkuu aseme anakwenda chadema basi watawala mtakuka na hoja za ubadhirifu wa pesa kama kivuko, nyumba n.k, nikwambie kitu ki1, hakuna msafi kule, ni wasafi wakiwa huko wakitoka wanaonekana wachafu, joka la crossed eyes sasa hivi mnamtizama tu, akitoka ndio mnaanza kusema, kwanini huyo mtu msimkamate na mkamchunguza alipokiwepo huko, usifate mkumbo ndugu hata ikifika jioni unapewa mb zako upotoshe,
Ndugu yangu sikatai kuijua chadema kama ulivyoeleza

Mimi sikatai uchafu wa wana ccm. Hata mtoto aliyezaliwa leo anaujua uchafu wa ccm na viongozi wake hasa katika awamu ya pili mpaka hii ya leo.
Nimebahatika kuziona awamu zoote kuanzia mwingereza anaingia tz hii mpaka anaondoka na harakati zooote.

Kinachoniuma mimi ni pale chama ambacho kiliaminiwa kuwa m_badala wa chama hiki zarimu cha ccm kinayatenda makosa yale yale wayafanyayo wao.
Ujue watu wamewekeza matumaini yao ndani ya chadema, inauma kuona mitaji yao ya matumaini inateketea kwa makosa yale yale waliyoyakimbia kutoka huko ccm.

Kinachotia hasira ni kila kosa linalofanyika ndani ya ccm linafanywa lile lile na chama hiki pendwa.
Kataa ukubali chadema imrpoteza dira mkuu
 
Sikio la kufa ....Mbowe ndiye mtu anayepaswa kujitafakari binafsi na kuchukua maamuzi magumu ...tusisubiri ya NCCR mageuzi maana naona kabisa Chadema inaenda shimoni na hasa moto utaanzia uchaguzi wa 2020 ....bado mapema kujipanga upya .....
Chadema kinaenda shimoniii??!!
Labda haupo apa nchini, kivipi sasa?? Kwa kunyimwa kufanya mikutano iliyo ainishwa kwenye katika? Viongozi wake kupewa kesi za uchochezi pindi wakikosoa serikali ya chama unachohihi akitokufa??
Fuatilia kwa undani ndipo utajua CCM ndicho kinachokufa, ss iv n kwa hisani ya SIRRO tu...
 
Na kusikika ni sehemu ya uanasiasa. Nyalandu inawezakana ni mwanasiasa aliyepoa lakini bado ni mwanasiasa. "Mjamaa" wa Kanada siasa ni fani anuai inayohusisha mambo mtambuka!!

Mimi nakubaliana na Petro E. Mselewa kwenye baadhi ya mambo lakini si kweli kwamba kifo cha CHADEMA kimekaribia na wala CHADEMA haifanani na NCCR-Mageuzi ya kina Marando na Mrema na wala hizi si zama zile!

Mimi sio "Mjamaa" wa Kanada .....ila mmoja wa wanaoamini katika misimamo na sera za "Jamaa" wa Kanada...

Najua Chadema haifi leo wala kesho, ila haiwezi kuaminika kama huko nyuma...

Chadema itakufa tu endapo kitatokea chama chenye nguvu na sera za kueleweka...

Ndio maana sasa hivi wamewekeza kuua nguvu ya vyama mbadala mfano ACT, NCCR na CUF...

Chadema wapo tayari ccm itawale mda mrefu ila sio kiibuke chama kingine chenye nguvu kukizidi..

Watu wanaishabikia Chadema sababu hawana chama mbadala wa kueleweka......
 
Wapokelewe tu ila wawe wnachama wa kawaida kwa muda flani...sio anaingia Leo anapewa kugombea urais ...ubunge eac..nk...hii inawadhofisha waliopigainia chama kwa muda mrefu...otherwise ni ushauri mzr
 
Wazo zuri sana ila kwa hali ilivyo sasa ambapo Shughuli za kisiasa zimepigww marufuku kwa wapinzani nchi nzima.Bila kuruhusu Mikutano ya kisiasa... Wazo lako halitekelezeki.

Kiichobaki ni kwenda kwa mbinu ya kupokea wana CCM wanaokimbia Chama tu.

Hata zito kabwe mwenyewe anatamani kuungana na CDM kwenye UkAWA hivi sasa.
Cause., hali ni mbaya sana.
 
Chadema wapo tayari ccm itawale mda mrefu ila sio kiibuke chama kingine chenye nguvu kukizidi..
Hebu iwekee nyama hii hoja yako ili mantiki yake ionekane. Yaani chama kingine kinataka kuwa Imara ila CHADEMA ndiyo inazuia chama hicho kuimarika? Hivi CHADEMA imezuiaje CUF na NCCR kuwa vyama imara?
 
Wapokelewe tu ila wawe wnachama wa kawaida kwa muda flani...sio anaingia Leo anapewa kugombea urais ...ubunge eac..nk...hii inawadhofisha waliopigainia chama kwa muda mrefu...otherwise ni ushauri mzr
Kina Masha ndiyo hao wamekaa miaka miwili bila cheo wametimka!!
 
Na kusikika ni sehemu ya uanasiasa. Nyalandu inawezakana ni mwanasiasa aliyepoa lakini bado ni mwanasiasa. "Mjamaa" wa Kanada siasa ni fani anuai inayohusisha mambo mtambuka!!

Mimi nakubaliana na Petro E. Mselewa kwenye baadhi ya mambo lakini si kweli kwamba kifo cha CHADEMA kimekaribia na wala CHADEMA haifanani na NCCR-Mageuzi ya kina Marando na Mrema na wala hizi si zama zile!
Chadema wanapaswa kuwafanyia assesment wanaotoka CCM na kukimbilia kwao kabla ya kuwapokea na kuwapa nafasi nyeti kwenye chama.Pengo la vijana mahiri kama Mnyika,Zitto,Shonza,Heche,Sugu linaonekana waziwazi ile Bavicha imekufa kabisa sasa wanasubiri kupokea wazee wanaohama CCM
 
Back
Top Bottom