Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Yaani kama ulikuwepo mkuu. Nlikuwa Durban nkataka niende sokoni kwao kule town kutokea mabhida stadium basi msela ananiambia chukua taxi ni Rand 5 tu, kuangalia hizo hiace ndio taxiNgoja niondoke hizo shades ulizoweka....hizo hiace jamaa wanaita Taxi!
Wanafikaga Mzee, sio kama wewe una-fly watu wanaungaunga tuUnafikaje na 500k?
Poa kakaPamoja mkuu
Kina RRONDO wanaenda kwa masaa manne tu hukoMkuu Ni safari ya siku tano from dar to cape town
Mkuu ulifanikiwa kukusanya watu wako mkale BATA?Nani kakudanganya??? Mkuu watu wanakula bata
Mkuu mipangilio unaendelea. We had to give people time to arrange their leaves and to save money for it. The target is mid AprilMkuu ulifanikiwa kukusanya watu wako mkale BATA?
All the bestMkuu mipangilio unaendelea. We had to give people time to arrange their leaves and to save money for it. The target is mid April
haaaaaaaa haya siku utasema mwana member jf alisemaHahaaaa
Kuna ukweli lakini.
Ila mkuu haitakuwa aisee
We naweeeeehaaaaaaaa haya siku utasema mwana member jf alisema
Vp mjomba kwenye iyo border ya beitbridge naskia pagum kupita sana sana kama unazamia bila p.port.....
Tunatembea vifua mbereeSawa Kiongozi
Ila Umeondoka Tanzania Haraka Tu Wakati Nchi Ipo Vema Na Mambo Mengi Sana Mazuri
Tazama Ufunaji Korosho Na Uuzaji Wake Mbuzi Hawatakunywa Soda
Tanzania Ni Pazuri Nchi Ya Asali Na Maziwa
Nakushauri Urudi Na Wenzako
Kaka hakikisha unarudi na MARINDAKwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019
My name is JP William son ,,I will crush any son of bitchUpo kama Xuma a man from noth wa "Mine Boys" by Peter Abrahams alivyoingia Jo'berg [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hongera mwana mama,ndio maana umeadimika jukwaa pendwa!Bhana weeee.
Hawa viumbe hawafai
Pambana kamanda utatoboa,unaonekana utahimili mapigo ya huko.Simamia unachokiaminiWakuu habari,
Nimeshafika hapa cape town kwa Mara yakwanza.Yafuatayo ndio niliyoyakuta hapa
Hali ya hewa ni nzuri msimu huu wa summer.
Wenyeji wa eneo nililofikia wengi ni warangirangi
Tofauti na miji mingine hapa SA,cape town hakuna usumbufu wa polisi kukamata wahamiaji wasio na vibali vya kuishi(Hii ni nadra sana) hakuna kutembea na passport.
Vibaka wakirangirangi hapa Retreat wamejaa hivyo nikutembea kwa machale.NI HAYO TU,
NINASEHEM YAKULALA NA PESA KIDOGO YAKUNISUKUMA WALAU MWEZI MMOJA.
BADO NATAFUTA KIBARUA CHAKUFANYA KUJIINGIZIA KIPATO HIVYO KAMA KUNA CONNECTION YOYOTE KWA WENZANGU MLIOPO HAPA TUSAIDIANE.