Ndani ya BBC: Kitila Mkumbo atetea 'Ushoga'

Ndani ya BBC: Kitila Mkumbo atetea 'Ushoga'

"HAUTETEI WALA KUUPINGA USHOGA"
Hii ni kauli tata sana!
 
Msiige nchi za magharibu yaani kitila na udokta wako unadiriki kutetea ushoga?kweli umekosa busara.nilitegemea ungelaani kitendo hicho kumbe wewe ni wale wale mliokunywa uji wa mgonjwa?
Halafu huyu ndio KATIBU MKUU wa ACT.
 
Hivi hiyo misaada inathamani gani dhidi ya Rasilimali zetu wanazizikomba kila kukicha? Uganda imetumiwa kwa tafiti nyingi za tiba ya magonjwa hatari, wananchi wa Uganda wameambukizwa magonjwa ya kila aina, wananchi wa Uganda wamepiganishwa vita vya kishenzi ....ni wakati muafaka sasa kwa Waafrika kujitambua na kukataa the so called misaada wakati kiuhalisia ni sehemu ndogo sana ya pato litokanalo na rasilimali zetu wanazoturudishia tena kwa njia ya kuua utamaduni wetu! Namuunga mkono M7 100%... Ushoga ubaki huko huko kwao...
 
akiojiwa na charles hilary wa bbc, amemponda mseveni kuwa ana mapungufu hivyo kataka apate umaarufu kwa kupinga ushoga. Mimi nimejiuliza maswali mengi, kwa kuwa mseven ni dhaifu kwenye utawala wa kidemokrasia, ni dikteta basi ata ushoga aukubali? Mimi binafsi nimemuona dr kitila hamnazo. Ata kama mseven ana mapungufu, je ili la ushoga kafanya vibaya? Nakumbuka humu jf, watu wengi tumekuwa tunamponda mh rais kwa mambo mengi, lakini alipomshauri kagame aelewane na wapinzani, watz wengi tulimsapoti na ata wanyarwanda walivoanza kumshambuli Rais, wengi tulikuwa nyuma ya rais wetu. Je kitila alitaka M7 aruhusu ushoga? Kwa ili ya ushoga dr kitila huko peke yako labda wale masalia wako.

Najua mnamuogopa sana Kitila Mkumbo, kwahiyo mnajitahidi sana kumchafua kwa lolote mnaloweza.

Chadema inapewa msaada na Chama cha Ujerumani kinachoamin ushoga mbona hamtoi tamko kukataa mamilioni hayo.
Wanafiki wakubwa nyie.
 
Back to topic please!
 
tuachane ushabiki wa kisiasa bwana mkumbo hajakosea hata kidogo , suala la ushoga bwana mseveni analitumia km his plolitical will.
.
africa kuna matatizo mengi sana ushoga haundoi matatizo yetu..
 
Kwa bahati mbaya, ujumbe mzima (kamili) wa Dr. Kitilla umepotea kwa wengi kutokana na jazba kubwa kuhusu ushoga. Ni kweli kuwa ushoga haueleweki wala kukubalika kwa wengi wetu. Lakini upande muhimu wa ujumbe wa Dr. Kitilla ni jinsi wanasiasa wa ovyo kama Museveni wanavyoweza kuchukua kete hiyo MOJA TU kujipandisha chati ghafla. Kwenye mikakati ya kisiasa, mtu wa aina hiyo tunamuita "a political genius". Mtu ajikombe kwa mataifa makubwa kwa vitu vyote na kukandamiza watu wake kisha akurupuke dakika za majeruhi na kupitisha sheria dhidi ya ushoga na kuishia kuoneka "shujaa wa kipekee" barani Afrika! Kwa hulka hiyo ya mitazamo finyu, tutaendelea kuwakabidhi ikulu zetu "watoto wa mjini" ambao nao hawatakuwa na hiyana kuendelea kutuhenyesha bila simile.

Natumaini mnaomshambulia Dr. Kitilla ikitokea hapa TZ CCM wakiandika rasmi kwenye ilani yao ya uchaguzi mwaka 2015 kuwa wakiingia madarakani jambo la kwanza ni kutunga sheria ya kunyonga mashoga wote nchini basi mtahamishia kura zenu kule kwani kwa tafsiri nyepesi, vyama vingine visivyo na kipengele hicho manake "vinaunga mkono" ushoga! Kama ni hivyo, ni bora tuanze kumuuliza kila mwanasiasa anayetaka madaraka nchini ana msimamo gani kuhusu ushoga ili mambo yawe bayana mapema kabisa.
 
amesema,"viongozi wa africa wanajivika ujasiri wasiouweza" hapa ina maana anashabikia ushoga na hakubaliani na Museveni kusaini, ameiaibisha Tanzania na taaluma yake na chuo chake.
utake usitake ushoga ulikuwepo! Upo! Na Utakuwepo! Hata tuweke sheria ima tusiweke! Alichofanya mseve ni kutafuta umaarufu na sifa zisizo na faida kwake wala wananchi wa Uganda! Kwani angefunika kombe yapite kungekuwa faida zaidi!
 
Kwa bahati mbaya, ujumbe mzima (kamili) wa Dr. Kitilla umepotea kwa wengi kutokana na jazba kubwa kuhusu ushoga. Ni kweli kuwa ushoga haueleweki wala kukubalika kwa wengi wetu. Lakini upande muhimu wa ujumbe wa Dr. Kitilla ni jinsi wanasiasa wa ovyo kama Museveni wanavyoweza kuchukua kete hiyo MOJA TU kujipandisha chati ghafla. Kwenye mikakati ya kisiasa, mtu wa aina hiyo tunamuita "a political genius". Mtu ajikombe kwa mataifa makubwa kwa vitu vyote na kukandamiza watu wake kisha akurupuke dakika za majeruhi na kupitisha sheria dhidi ya ushoga na kuishia kuoneka "shujaa wa kipekee" barani Afrika! Kwa hulka hiyo ya mitazamo finyu, tutaendelea kuwakabidhi ikulu zetu "watoto wa mjini" ambao nao hawatakuwa na hiyana kuendelea kutuhenyesha bila simile.

Natumaini mnaomshambulia Dr. Kitilla ikitokea hapa TZ CCM wakiandika rasmi kwenye ilani yao ya uchaguzi mwaka 2015 kuwa wakiingia madarakani jambo la kwanza ni kutunga sheria ya kunyonga mashoga wote nchini basi mtahamishia kura zenu kule kwani kwa tafsiri nyepesi, vyama vingine visivyo na kipengele hicho manake "vinaunga mkono" ushoga! Kama ni hivyo, ni bora tuanze kumuuliza kila mwanasiasa anayetaka madaraka nchini ana msimamo gani kuhusu ushoga ili mambo yawe bayana mapema kabisa.

Nimekuelewa saana ulichokisema .. !

kwa vile uliangalia mahojiano hayo ww binafsi , basi ni lazima ukubaliane na mm kua Mtikila alishindwa kuonyesha msimamo wake juu ya swala la ushoga .. !

Huwezi niambia tunamshambulia Mtikila kwa sababu wengi tunauchukia ushoga laa.
Mtukila

Dk. jana sidhni kama aliongea na kuonyesha nn anasema .. !
Na sidhani kama Dk alitakiwa kua neutral kwnye swala hili .. !
Na pia alionyesha kumyooshea kidole Museven na kumlaumu indirect kwa maamuzi aliyoyachukua ..
 
utake usitake ushoga ulikuwepo! Upo! Na Utakuwepo! Hata tuweke sheria ima tusiweke! Alichofanya mseve ni kutafuta umaarufu na sifa zisizo na faida kwake wala wananchi wa Uganda! Kwani angefunika kombe yapite kungekuwa faida zaidi!

Daa!!! hataree.
 
tuachane ushabiki wa kisiasa bwana mkumbo hajakosea hata kidogo , suala la ushoga bwana mseveni analitumia km his plolitical will.
.
africa kuna matatizo mengi sana ushoga haundoi matatizo yetu..
Na pia hayo matatizo mengi hayahalalishi ushoga...
 
Huyu jamaa ( Dr. Kitila Mkumbo ) hafai kabisa ndio maana hata watani zangu chadema wamemfukza. Katika maisha kuna maswala yanayohtaji suluhu ya haraka kulinda heshima ya jamii. Na kuna mipango ya mda mrefu. Sidhan kwamba unaweza kushughulkia matatizo mengine wakati kuna swala linalomomonyoa maadili. Huyu sijamwelewa kabisa
 
Mkumbo hakutetea ushoga tusijaribu kuweka siasa za kitoto kwenye ukweli, alichokisema ni kwamba uganda ina matatizo mengi na makubwa sana ila museveni amelitumia tatizo la ushoga kisiasa baada ya kuona umaarufu wake umepungua, kwa maoni yangu mimo museven atoke kistaarabu tu bwana raisi gani unakaa madarakani miaka 30 una tofauti gani na gadafi
 
Huyu jamaa ( Dr. Kitila Mkumbo ) hafai kabisa ndio maana hata watani zangu chadema wamemfukza. Katika maisha kuna maswala yanayohtaji suluhu ya haraka kulinda heshima ya jamii. Na kuna mipango ya mda mrefu. Sidhan kwamba unaweza kushughulkia matatizo mengine wakati kuna swala linalomomonyoa maadili. Huyu sijamwelewa kabisa

Kweli umeongea ..

'katika maisha kuna maawala yanayohitaji suluhu ya haraka kulinda heshima ya jamii "

hakika kwa hili Dk. kauli ya kwanza ungeonyesha kulaani kitendo cha ushoga ..

thn angeendelea kuongea aliyoyasema .
 
Nimekuelewa saana ulichokisema .. !

kwa vile uliangalia mahojiano hayo ww binafsi , basi ni lazima ukubaliane na mm kua Mtikila alishindwa kuonyesha msimamo wake juu ya swala la ushoga .. !

Huwezi niambia tunamshambulia Mtikila kwa sababu wengi tunauchukia ushoga laa.
Mtukila

Dk. jana sidhni kama aliongea na kuonyesha nn anasema .. !
Na sidhani kama Dk alitakiwa kua neutral kwnye swala hili .. !
Na pia alionyesha kumyooshea kidole Museven na kumlaumu indirect kwa maamuzi aliyoyachukua ..

Bado nina tatizo. Kwanza, ingekuwa Dr. kaulizwa msimamo wake yeye binafsi kuhusu ushoga, ningeuelewa kwa kiasi mwelekeo wa mashambulizi haya. Pili, Dr. Kitilla ni mtu binafsi asiye na athari (impact) kubwa katika jamii yetu. Sijamsikia akionyesha hata nia ya kugombea udiwani. Sanasana amesikika akijaribu kumpigania Mh. ZZK achukue uenyekiti CHADEMA. Hivyo, msimamo na kauli yake kuhusu ushoga si "malikitu" kwetu waTZ - ni kwa faida/hasara yake, familia yake na marafiki zake. Hatuhitaji kumdai atuthibitishie kama "yuko upande upi; wetu au wa maadui zetu?" Angekuwa kiongozi wa chama au nchi, ingemaanisha kitu kuhusu msimamo wa chama chake au nchi. Tatu, na muhimu zaidi kwangu ni kwamba Museveni, kama ilivyo kwa viongozi wengi wanafiki barani Afrika, si MJUMBE ANAYEKUBALIKA wala KUAMINIKA kutusemea kuhusu "kero" ya ushoga!
 
Najua mnamuogopa sana Kitila Mkumbo, kwahiyo mnajitahidi sana kumchafua kwa lolote mnaloweza.

Chadema inapewa msaada na Chama cha Ujerumani kinachoamin ushoga mbona hamtoi tamko kukataa mamilioni hayo.
Wanafiki wakubwa nyie.

Ukiondoa kwamba haki za mashoga zinatambuliwa ktk Katiba ya Ujerumani,chama cha CDU ni ktk vyama vya Wahafidhina ambako hayo mambo ya ushoga hayaungwi mkono.
 
Au kaka nae mchicha mwiba??tangu azingue chadema amenitoka...nilikuwaga na muheshimu kweli..kumbe buree kabisa hamnazo
 
Bila shaka maelezo ya ndugu kitila yana onyeaha waziwazi ni mkereketwa au mwanaharakati wa kupigania haki za mashoga/mahusiano ya jinsia Moja. Pamoja na matatizo yote yaliyopo Uganda lkn sio sababu ya kuruhusu utamaduni wa kimagharibi kuharibu mila na tamaduni za kiafrica, ndio maana Raisi Museveni ameungwa mkono na watu wote nchini, kwa jambo hili museveni sio tu jasiri mbele ya mataifa ya ulaya bali ametimiza wajibu wake Kama kiongozi mbele za mungu. Viongozi wengine wa kiafrica tunapaswa kuiga mfano alio uonyesha museveni, tuasiendekeze njaa na tukawa watumwa wa kifikra!
 
Huyu Dr.Kitila anadhamana kubwa sana ndani ya Taifa hili,sasa kama anakuwa na misimamo isiyoeleweka juu ya Ushoga unafikiri hao watoto anaowafundisha watakuwa wa namna gani? kuna shoga mmoja humu nimeona anavyotetea tena kwa point,huyu kibeduru sijui kama nimekosea jina lake atajua yeye mwenyewe,huyu ni shoga100% hata kama anadai haki za binadamu,inamaana hizo haki anazijua yeye tu,ikiwa hata mwenyezi MUNGU amekataza,hapana mtu anaepinga amri za MWENYEZI MUNGU huyu hayuko upande wetu ni wa shetani,maana hata shetani anapinga maamuzi ya MUNGU kwamba anataka apewe haki ya kuheshimiwa,kama kibadru anavyotaka kutushawishi ili tuwape haki zao.Kwa hilo swala la kuheshimu haki zenu kibadru,nasema hapana,bora Waganda ama Waafrika kwa ujumla tufe kwa njaa ama kwa kukosa madawa hosptalini kuliko kuukubali huo ushetani wenu.
 
Back
Top Bottom