mshambuliaji no.9
Member
- Apr 11, 2013
- 17
- 0
si kila aliyesoma ameelewa alichosoma, wengine walikalili tu ndio maana baada ya muda wanasahau!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!tehe! tehe!...tehe!... hii nchi bwana
Nimemzarau sana mwl.wangu Dr Kitila,jinsi muda unavyozidi kwenda jamaa uwezo wa kung'amua unapotea,anataka kutuambia kwa matitizo yaliyopo Africa basi tuhalalishe na mengine tena kwa amri ya wale wanaodai wanatusaidia..nimemuelewa vizuri. Alitaka M7 asipinge kwa kuwa nae ana mapungufu kama nilivoeleza hapo juu. Jiulize swali; je usa,sweden, danish na netherland walikuwa wanaipa UG misaada ili wasapoti ushoga? Kwa hili kama dr kitila alipewa pesa ili aisambaratishe chadema...Ninaanza kuamini. Ina maana alikubali pesa ya ccm aisambaratishe chadema kwa kuwa viongozi wa chadema wana mapungufu? Mitego kama hii lazma kama wewe ni dr lazma utumie akili ya kuzaliwa na si kulishwa vitamu na vichungu
Binafsi naona ikiwa binadam ni kiumbe pekee chin ya jua mwenye akili na utashi lakini ni kiumbe pekee anaefanya mambo ya ajabu kuliko mnyama,akili hii inamfanya apende kujaribu kila lilopo mbele yake,kujua kila lilopo mbele yake,kwa binadamu anaejitambua na kuhoji akili yake atajua kila kilichopo kipo kwa sababu yake na ni muhimu kuheshimu uwepo wake na uzuri katika uumbaji Mungu aliainisha,Mungu atujalie tujitambue zaidi kupitia yeye na sio kwa utashi wetu..Hii issue ya USHOGA huwa inanipa tabu sana...hivi kuna mwanaume mwenye akili TIMAMU anaweza kuchukua dume jenzake nakuanza ku....nalo? this is realy the end of this world!hakuna namna yeyote ambayo mwanadamu anaweza kujitetea mbele za MUNGU juu ya UOVU huu mpya hapa duniani..
Watu wengine wanashida sana kusikiliza na kuelewa, shule za kata noma sana!
"You must be one those uninformed Chadema supporters whose decision making is ruled by emotions and not reasoning or rationale" For this statement you are referring to yourself I guess! otherwise you have to have lucid of the topic prior snap responsesIna maana hujui madhara watakayopata Uganda kwa kunyimwa hiyo misaada?You must be one those uninformed Chadema supporters whose decision making is ruled by emotions and not reasoning or rationale.Uganda waliahidiwa kupewa karibu dollar million 90 kwaajili ya mradi wa afya je unadhani Uganda watapata wapi pesa kufidia kiasi hicho cha pesa walichoahidiwa na World Bank (USA Agency) ili kuendelea na miradi ya afya waliyokwishaipanga?However i still support Museven decision to sign a bill that bans a same sex marriage in Uganda.
Unajua hapa mkuu kuna watu wanaleta ushabiki tu lakini ukweli ni kwamba analytically Dr kachemka sana katika kujibu hoja stahiki, yeye amejibu kishabiki kwa kujaribu kukosoa mfumo wa utawala wa mseveni ambapo indirect anapingana naye kwenye hoja mezani kuhusu athari za ushoga, ndio maana wanao draw kwamba katetea ushoga wako sahihi pia kwa sababu ameshindwa ku address issue aliyokuwa ameulizwa na mtangazaji.Hv kumbe swali lilikuwa hivyo!
Nimefungulia TV yangu nikasikia tu anajibu sikuelewa ameulizwa nini. Kama ni hivyo hakujibu hilo swali aliloulizwa kabisa.
Duh! nimeona ulichokimaanisha Dr. sasa labda turudi katika nchi yetu na kiuhalisia kwa hiki ulichokiandika ni moja kwa moja nchi yetu inakubaliana na suala la USHOGA na inawezekana limefanyika kwa makubaliano ya siri kama hii mikataba mingine inayosainiwa kisirisiri,
labda naomba nipate ufafanuzi kutoka kwako juu ya hili swali langu.- Wewe umeishaweka waraka zako mbalimbali katika mitandao ya kijamii ukiwataka Watanzania wapate chama mbadala wa CCM na CDM je kama hicho chama mbadala kitapatikana hili suala la USHOGA litawekwaje na chama hicho? na vipi kuhusu utegemezi wa Misaada kutoka hizo taasisi za nje na nchi za magharibi zitawekwaje na hicho chama mbadala?
Kitila hata mimi nilikusikiliza vizuri sana.....tatizo watu wanataka kuhamishia hasira za kisiasa kwenda upande usiohusika.
mkuu hebu sema alichosema Dr.kitila huenda mimi sijasikia,lakini kama ile habar ya BBC swahili na charles hilary kitila hajasema na wala hajaulizwa kama anaunga mkono ushoga au la.