Inaonekana UDSM ndio chuo kilicho kichwani mwako..!ahaa , nlifikiri udsm kidogo nishangae
Ni kweli, sema course niliyotaka haikuwepo hapo (Bpharm)Inaonekana UDSM ndio chuo kilicho kichwani mwako..!
makosa tu ya kawaida kwani unafikiri naandikia peni kwenye karatasi bhana.ila nimekuelewaUwe unahariri kwanza maandishi yako kabla hujatuma mkuu, hapa unamdharirisha mwalimu wako wa lugha na wahadhiri wa chuo chako
Tukigoma huku na wenyewe kujua may be itasaidia ela kusekwa, hivihivi hamna kituKiukweli wanatuzingua sana chuoni maana pesa imeshafika bado wanaona ugumu kututumia kwenye A/C's zetu,tatizo sijui nini wanaboa tena sana.