Ndalichako vs Pesa ya Field

Ndalichako vs Pesa ya Field

Hata hamueleweki enewey..endeleeni kusubiria na malizeni chuo mapema muje tuisome namba
 
Nadhani angekua karibu ungempa BANZI..!
Mkuu hujakosea maana huyu jamaa nimemuuluza maswali yangu hajajibu sasa sijui ana makusudi ya kuturusha roho maana ilibidi niende kuangalia Salio nikakuta zero sasa aseme yeye kawekewa peke yake au ?
 
dah kwa style ya uongozi wa awamu ya tano tuna shida kweli ndugu zanguni,maana vitu vilivyokuwa vinatajiwa vipewe kipaumbele kama mamb ya elimu ya juu na mikopo yani ndo hata rais haviongelew kabisa na wakat katka kamlen ndo zilikuwa sera kuu na mambo muhimu
tutakufa njaa ase wanafunzi
Uwe unahariri kwanza maandishi yako kabla hujatuma mkuu, hapa unamdharirisha mwalimu wako wa lugha na wahadhiri wa chuo chako
 
Watu wanataka kiniua..haina haja ya kutaja chuo..ndo iweje sasa...we kama bado waulize vizur chuoni kwako mana pesa zmeshafika vyuoni
 
1471009441302.jpg

HAKUNA FIELD WALA RESEARCH ITAKAYOFANYIKA BILA PESA KUPATIKANA nimeipenda falsafa ya hiki chuo.
 
Home of VIPANGA wameshaingiziwa pesa tayari...
So kuweni na SUBIRA vijana...
Muda si mrefu na nyie wa vyuo vilivyosalia mambo yatakua MAZURI..!
 
Back
Top Bottom