kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,698
- 1,941
Tafadhali ndalichako wasisitize bodi Husika ya mkopo Mwaka huu tunaomba pesa za field tulipwe kwa mkupuo usitupe nusu nusu kama Mwaka Jana unatuharibia malengo yetu Wengine pesa izo pesa tunazitumia kwa malengo mengi kwa iyo tunaomba Mwaka huu tulipwe kwa mara 1